Nauliza tu: Kwanini Zitto hashiriki kwenye M4C? Kwanini yupo karibu sana na CCM?

kadi ya chama pound 20,bora niende nikashiriki mikutano ya CCM pale leicester kesho,nikajumuike na watanzania wenzangu.
 
kadi ya chama pound 20,bora niende nikashiriki mikutano ya CCM pale leicester kesho,nikajumuike na watanzania wenzangu.
kuchangia chama sio kurembua macho,
Kkadi ikiuzwa £20 wewe unatakiwa uulize kwa nini inauzwa bei wakati bongo ni shs 1500? sawa na 50p?
Think before you coment.
Chama chetu kinajengwa na wanachi wenye uchungu na nchi yao
Ningependa na wewe uwe mfano
Hizo £20 ni kwa ajili ya kuchangia chama
 
Chadema hatuchonganishwi hata iweje. Zitto ni jembe letu,
Kazi za chama ni nyingi na anaweza kuwa kapewa majukumu mengine kikazi. kama vile wabunge wengine walivyo na majukumu mengine.
Tukumbuke huyu ni waziri kivuli na mwenyekiti wa tume ya hesabu za mashirika ya umma hivyo ni kwamba ana majukumu mengi tayari. ile ya kigoma ni kuwahamasha wasanii waone wanathaminiwa

Sorry jamani, hivi ile tume iliyovunjwa ni hiyo yenye rangi nnyekundu hapo juu au? Mwenyekiti anaendelea na kazi peke yake? Nauliza tu jamani, aulizaye ataka kujua.
 
chadema hatuchonganishwi, zitto ni jembe letu, kwani huko ccm mmeishiwa majembe??

kumbe zitto ni jembe? "JEMBE KWA KAWAIDA LINA TUNDU AMBAPO MPINI UNAPITA KATIKA TUNDU, JE KWELI NA ZITTO YUKO HIVYO NA ANA SIFA NA TABIA KAMA YA JEMBE YAANI HAFANYI KAZI BILA KUTIWA MPINI? SAWA KAENI NA JEMBE LENU ZITTO"
 
mimi mwenyewe najiuliza hivi zito yupo wapi sisi hapa moro tulikuwa na hamu ya kuona timu nzima ya m4c lakini zito hatukumuona na dr silaa alituambia kuwa zito naye angekuwepo siku hiyo hebu tuondoeni hofu huenda ndo anapanga mbinu mbadala naomba kuwasilisha
 
Wana JF,
imekuwa si kawaida kwa Mh Zitto kuwa kimya kiasi hiki wakati kuna mambo mengi yamejitokeza ambayo wakati wake na kwa hali ya kawaida alikuwa mala nyingi anatoa kauli yake au hata mawazo yake eidha kukemea, kukosoa au hata kuonya.
Mh Zitto ni kiongozi mkubwa wa chama kwa nafasi ya naibu katibu mkuu; kukaa kimya na kutojitokeza katika harakati za chama hata M4C, na kutojitokeza kukemea kitendo cha polisi kuua raia na hata kujionyesha katika shuguli mbalimbali za chama kunatutia wasiwasi juu yake.
Naomba kamanda kwa kuwa wewe ni mwana jf mzuri hebu tuondoe wasiwasi tupe hali halisi juu yako make hata ktk kutoa tamkio la kamati kuu kwa waandishi wa habari wewe hujaonekana!!!
 
waislamu wote ni ndugu, msikitini haturuhusiwi kupingana. Mfano mauaji ya nyololo hatuzungumzi kabisa kwavile vijana wa kaka Said (mteule wa mjomba J ) ndo wamehusika;na ndo mana kaka Suleiman alituruhusu tuandane hata bila kbali. So naomba mtuache tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom