Nauliza tu: Kwanini Zitto hashiriki kwenye M4C? Kwanini yupo karibu sana na CCM?

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Mmie naomba mnijibu kama mnamajibu nilikuwa nataka kujua tu kwa sababu naona Mbowe na Slaa wanazunguka miko yote kila kukicha wakishirikiana na wabunge wengine wa CHADEMA lakini sijawahi kumuona Zitto kwenye hii mikutano badala yake yeye alianda kale ka tamasha ka LEKATUGIGIDE sijui nini vile.

Je kama kweli ni kiongozi wa chadema si anatakiwa awe kwenye hii movement for change? au ama call sick??

Mie naomba sababu ili nijue kabla sijaanza kumlaumu kwa mambo fulani fulani kama nionavyo kwenye mitandao manake nisije nikawa namuonea tu wakati ana sababu zza kutoshiriki M4C
 
Ukiona ashiriki m4c ujue ana majukumu mengine kichama ambayo sio lazma ww utangaziwe kaka fungukeni mbona kila siku zitto?
 
tumesha yachoka haya maswali humu, wewe sio wakwanza kuuliza hii kitu kuna wenzako kama 50 elfu ivi walishauliza, sasa mtafuteni mwenye huyo zito atawajibu kwanza wengine tulishamsahau kabisaa! yani mkuu kusoma huwezi hata picha nayo uioni tu. mfute tu kwenye fikira zako usije patwa presha tu mkuu
 
Mbona watu Kibao tu hawashiriki M4C? kwani wewe umemuona Zito Kabwe tu?
ZZK ametangaza nia ya kugombea urais, ili aweze kuupata lazima apate kura kutoka Nyololo, Ikengeza, Sanga Mwalugeshi, Kantalamba na maeneo mengi ya vijijini ambako M4C inafika na kufungua matawi na kujiongezea nafasi ya kupata kura za vijijini ambazo ndio mtaji wa ccm. Rais gani ambaye hataki kushiriki kutengeneza njia ya kuupata urais, au labda anataka kuwa rais wa LEKE TUTIGITE...

Anyway, its Andy Murray against Thomas Berdych right now!
 
Zitto jembe la ukweli hata kama hamtaki wafitini. Mtaweka uzi ili watu wamchambe, kafie mbali FEBRUARY KAMBA MINYUZI
 
Zitto jembe la ukweli hata kama hamtaki wafitini. Mtaweka uzi ili watu wamchambe, kafie mbali FEBRUARY KAMBA MINYUZI
Chadema hatuchonganishwi hata iweje. Zitto ni jembe letu,
Kazi za chama ni nyingi na anaweza kuwa kapewa majukumu mengine kikazi. kama vile wabunge wengine walivyo na majukumu mengine.
Tukumbuke huyu ni waziri kivuli na mwenyekiti wa tume ya hesabu za mashirika ya umma hivyo ni kwamba ana majukumu mengi tayari. ile ya kigoma ni kuwahamasha wasanii waone wanathaminiwa
 
Zitto ni figure!

Nadhani kuna talent nyingi kwenye chama zimekuwa identified na wengine wamekuwepo humo kutokana na kazi ya Zito hivyo anawaachia na wao waonyeshe mchango wao kwa chama huku akifanya mambo mengine ya chama ila kwa sasa yupo Colombo kwenye mambo ya CPA akiwa sehemu ya ujumbe wa Spika wa bunge
 
Ritz unasema umeishi UK?
Mitaa gani manake MK nimekaa sana kule
 
Zitto si CHADEMA. Kwanini muogope kusema ukweli? Ni kibaraka na wa madaraka ya kupewa na CCM na TISS...
 
Mpigie mwenyekiti atakufafanulia au katibu wake nazani namba zao ziko hewani
Nilidhani unayajua hayo anyway ntapita kumuona Linah huko barking leo ntamuuliza chris brotherman bei na pengine ......... lakini si kwa bei hiyo.
 
Back
Top Bottom