Nauliza tu.........Is it Possible??

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Wandugu Subhai? takwenya? tukulu kabisa? (salamu jamani)

Nimejaribu kureflect mitazamo mbalimbali humu jamvini kuhusu nyumba ndogos nikajikuta najiuliza mawaswali yaso na majibu. Ninaomba msaada wenu

Inawezekana haijakutokea wewe but umeshaiona kwa mtu wako wa karibu au jirani yako....
1. Is it possible to find a true love in nyumba ndogo? (Compatible partner acc to Teamo's definition of true marriages). Kwa maana ya kwamba mtu kapata nyumba ndogo halafu wakajikuta they are so compatible kiasi cha kuhisi kuwa they were meant for eachother just that hawakubahatika kuonana/kutana mapemda kabla ya kujicommit kwingine ambako wanahisi wamekosea/force??

Hapa tunajua kuwa ni dhambi kuwa na mahusiano nje ya ndoa yako..........but tuongee reality hapa kuwa ni kweli zipo despite mafundisho hayo.

ni hilo tu................
 
It is possible,since watu wanaoana kwa sababu nyingi,mwingine kwa kuwa kampa mtu mimba,wengine huruma etc,so kuna uwezekano wa kukutana na watu nje wanaoweza kuwa na true love na compatible kuliko wale waliowaoa au kuolewa nao.
 
Yah inawezekana kabisa ila walio wengi wanajidanganya kwamba walikosea kumbe wenza wao ndio walikosea kuwachagua wao. Pia unaweza ukajikuta umefika kabisa kwa mwenza wako na ukajiridhisha kwamba he is the one lakini badae unakuja kukutana na mwingine kwa huo wizi na kuhisi ulifanya kosa pale mwanzo.lakini huwezi fanya lolote unabaki ku wish tu.
Ila nachojua mimi wengi hasa wanaume wanapokuwa na nyumba ndogo huwa wanataka kuwridhisha kwamba wanawapenda kwa kuwaambia maneno kama hayo, ukimwambia adivorce sababu kibao.kwa hiyo usiamini sana unapoambiwa kwamba alikosea kuoa fulani kwamba wewe ndio ulitakiwa uwe mkewe
 
Oh Aksante Dyslexia hili lilikuwa limenipitia kando.....so mfano kama umelazimika kuoa/olewa kwa sababu nyingine kabisa isiyo kuwa mapenzi basi unawezakutana na mwingine ukafall...............okay
 
Yah inawezekana kabisa ila walio wengi wanajidanganya kwamba walikosea kumbe wenza wao ndio walikosea kuwachagua wao. Pia unaweza ukajikuta umefika kabisa kwa mwenza wako na ukajiridhisha kwamba he is the one lakini badae unakuja kukutana na mwingine kwa huo wizi na kuhisi ulifanya kosa pale mwanzo.lakini huwezi fanya lolote unabaki ku wish tu.
Ila nachojua mimi wengi hasa wanaume wanapokuwa na nyumba ndogo huwa wanataka kuwridhisha kwamba wanawapenda kwa kuwaambia maneno kama hayo, ukimwambia adivorce sababu kibao.kwa hiyo usiamini sana unapoambiwa kwamba alikosea kuoa fulani kwamba wewe ndio ulitakiwa uwe mkewe

Aksante sana Gaga okay so its true kuwa you can find your true love in nnyumbandogoism.............hiyo ya how to do about it sasa inategemea na mambo mengi. Of course hata wewe nyumba ndogo unapofikia hatua ya kumwambia amdivorce mkewe unakuwa selfish na haileti mvuto......mwachie aamue mwenyewe na akiwa brave na kuamua mwenyewe it is becoming more romantic kuliko kujua kuwa amedirvorce kwa kuwa umemshauri..... But factors kama familia, watoto, miradi n.k pia inaweza ikawa inachangia kwa yeye kushindwa kudirvoce ili awe na wewe.

But here comes another dilema.......how comes sometimes kama situation hii inamkuta mwanamke mwenye ndoa........amefaal kwa nyumbandogo yake ya kiume akiambiwa adivorce ili aolewe nae huwa ni wepesi kukubali na kutekeleza?
 
mimi cna jbu la kukupa,ila hapa jirani yangu,anawake wawili wa kwanza ni wakigogo na anawatoto5 na mke mdogo amawatoto2 wapo primary ila huyu jirani hajag hme kwa mke wa1 hata mwez,na hela ya matumiz anamtuma m2 baki alete.nadhan umepata jbu la swal lako ingawa nimezunga sana.
 
Mjukuu mtiif

Inawezekana kama walivosema my two sisters apo juu.. na pia inaweza kuwa ni hisia za muda tu ikumbukwe kuwa haya mambo ya hisia yanakuwa na muda wake na mahali pake......kama mwanaume nikihitaji nyumba ndogo u know what to do and what not ili kuiwin...na nadhani pia kwa upande wa wanawake pia wanapokuwa na vidumu

tukirudi kwenye hoja kwamba wengine wanakuwa wameoa /olewa kwa sababu nyingi sio mapenzi tu so when the time comes mtu anapata 'true love' anajimuvuzisha

Ila ikumbukwe kuwa nyumba ndogono ndogohaiwezi kuwa kubwa I mean sikio halizidi kichwa....
 
Nadhani ni very possible kutegemeana na background ya mahusiano yaliyowapelekea kuwa kny marriage au pia huko nje unaweza kupata kile ulichokuwa unakimiss!!

GOD FORBID:hand:
 
MJ1,

Mimi si muumini wa hiyo kitu mnaita eti ni "True love". Kwa hiyo lolote laweza kutokea ukiwa mwanzoni, katikati au mwisho mwa safari yako ya mahusiano na mwenza wako.

Suala la msingi na ambalo ni muhimu kuliweka maanani..."Hakuna rafiki au adui wa kudumu". Ni suala la muda na mahali ulipo (time and location)!!!
 
Mjukuu mtiifu......

Heshima mbele....

Babu yangu aliwahi kuniambia kuwa asilimia kubwa ya wanaume huwa wanaoa wanawake wasiowapenda (sijui ni kama wa enzi zake au mpaka wa sasa) Lakini kiukweli kuna hiki kitu watu wanasemaga "wife material" ambapo wanaume wanaoa kwa sababu amekutana na mtu ambaye anadeserve kuwa mkewe kwa kuwa amefikia vile vigezo anavyoona vinafaa mtu kuitwa mkewe.

Unaweza kumpenda mtu sana lakini....damn....
Anapaka mkorogo, watanicheka watu
Mweusi sana, namimi nlivo mweusi watoto watakuwaje?
Da! mfupi kama mbilikimo, ntapitaje naye mtaani? nk nk nk

So unaoa yule ambaye ana vigezo ulivyojiwekea.....siku ukija kutana na yule mpaka mkorogo wako ambaye kiukweli ulimpenda, mnajirusha kama kawa....aftaroo siyo mkeo, nothing to loose........Mkeo mwenye 'wife material' yuko home analea watoto we unajirusha na yule umpendaye ila tu kwa kuwa hana 'wife material' hukumuoa.

Angalia hata hapa JF vijana wengi wanavyotafuta watu wa kuoana sifa wanazowekeana...:Awe na digrii, awe mrefu, mkristo, msambaa,mrefu, mnene et el....as if mapenzi yana vigezo!

Hivi nlijibu swali? Ahaa sikujibu? Orayt, jibu ni Yes, unaweza kupata true love kwenye nyumba ndogo, endapo tu ulioa 'WIFE MATERIAL'!
 
Naomba mungu aniepushie balaa hili. Kujibu hoja ni ndio inawezekana kama hamkupendana na partner wako kiukweli.
 
hii kitu inawezekana kabisa,hasa ukizingatia yule mwenye kutafuta nyumba ndogo yuko kny mahusiano ya namna gani,nini chanzo chake cha kuwa kny uhusiano alio nao,na ni nini anachoona anakihitaji zaidi ingawa hakuna aliye sahihi sana ila wanazidiana kwa namna mbalimbali
 
Mbaya kabisa...hupatikani.....ama ndo Dowans....

Mtizamo wako my dear kwen hili....please...

Hahahahaaaaaaaaaaa natamani ningekua member wa dowans ningekua nategemea kupata mafweza sasa, mtazamo wangu kuhusu mapenzi kwa kweli kila siku zinavyoenda nakosa jibu, nimeamua niache kama ilivyo tu kitakachotokea poa tu mradi maisha yanaendelea, sitaki kabisa kujimiza kichwa kuhusu mapenzi hayana formula.
 
Aksante sana Gaga okay so its true kuwa you can find your true love in nnyumbandogoism.............hiyo ya how to do about it sasa inategemea na mambo mengi. Of course hata wewe nyumba ndogo unapofikia hatua ya kumwambia amdivorce mkewe unakuwa selfish na haileti mvuto......mwachie aamue mwenyewe na akiwa brave na kuamua mwenyewe it is becoming more romantic kuliko kujua kuwa amedirvorce kwa kuwa umemshauri..... But factors kama familia, watoto, miradi n.k pia inaweza ikawa inachangia kwa yeye kushindwa kudirvoce ili awe na wewe.

But here comes another dilema.......how comes sometimes kama situation hii inamkuta mwanamke mwenye ndoa........amefaal kwa nyumbandogo yake ya kiume akiambiwa adivorce ili aolewe nae huwa ni wepesi kukubali na kutekeleza?

Hili jambo sio rahisi kwa mwanamke kulifanya, wengi wanapenda waishi na wanaume wao maisha yao yote sababu za watoto. Ila kuna wachache wanao ujasiri wa kusikiliza mioyo yao na kuvunja ndoa zao ili wawe na watu wanaopenda. kuna mifano mingi tu tunaiona siku hizi na hii imechangiwa sana na wanawake kuinuka kiuchumi siku hizi, zamani wanawake wengi walikuwa hawasomi, hawana kazi nzuri kuweza kuhimili mikiki ya maisha kwa hiyo wanavumilia hata yasiovumilika.
Kwa mimi binafsi ni ngumu sana kuachana na mme wangu kwa sababu tajwa hapo juu aisee, tabanana hivohivo
 
Asilimia 100% ya ndoa ni matokeo ya mazingira (chances) na siyo mapenzi ya dhati (choices)! ...

Kwahiyo asilimia 100% ya "nyumba ndogo" ni matokeo ya "choices"...

Kama jamii na Imani za dini fulani zingeruhusu ... Asilimia 100% ya wanandoa wangekuwa na wenza zaidi ya mmoja "legally" ...
 
mimi cna jbu la kukupa,ila hapa jirani yangu,anawake wawili wa kwanza ni wakigogo na anawatoto5 na mke mdogo amawatoto2 wapo primary ila huyu jirani hajag hme kwa mke wa1 hata mwez,na hela ya matumiz anamtuma m2 baki alete.nadhan umepata jbu la swal lako ingawa nimezunga sana.
Mwanakili90............................ aksante pamoja na kuwa umesema huna jibu la kunipa but umenipa jibu. Huu ni mfano tosha wa kuwa nyumba ndogo are there to stay if sometimes inawezekana kabisa kukawa na mapenzi ya kweli. Kwa huyu mbaba (tuashumu hajakolezwa kwa msaada wa juju maana hadi kusacrifice watoto huyu kapitiliza)
 
Mjukuu mtiifu......

Heshima mbele....

Babu yangu aliwahi kuniambia kuwa asilimia kubwa ya wanaume huwa wanaoa wanawake wasiowapenda (sijui ni kama wa enzi zake au mpaka wa sasa) Lakini kiukweli kuna hiki kitu watu wanasemaga "wife material" ambapo wanaume wanaoa kwa sababu amekutana na mtu ambaye anadeserve kuwa mkewe kwa kuwa amefikia vile vigezo anavyoona vinafaa mtu kuitwa mkewe.

Unaweza kumpenda mtu sana lakini....damn....
Anapaka mkorogo, watanicheka watu
Mweusi sana, namimi nlivo mweusi watoto watakuwaje?
Da! mfupi kama mbilikimo, ntapitaje naye mtaani? nk nk nk

So unaoa yule ambaye ana vigezo ulivyojiwekea.....siku ukija kutana na yule mpaka mkorogo wako ambaye kiukweli ulimpenda, mnajirusha kama kawa....aftaroo siyo mkeo, nothing to loose........Mkeo mwenye 'wife material' yuko home analea watoto we unajirusha na yule umpendaye ila tu kwa kuwa hana 'wife material' hukumuoa.

Angalia hata hapa JF vijana wengi wanavyotafuta watu wa kuoana sifa wanazowekeana...:Awe na digrii, awe mrefu, mkristo, msambaa,mrefu, mnene et el....as if mapenzi yana vigezo!

Hivi nlijibu swali? Ahaa sikujibu? Orayt, jibu ni Yes, unaweza kupata true love kwenye nyumba ndogo, endapo tu ulioa 'WIFE MATERIAL'!

Leo English Premier League tuna-watch sehemu gani?

MfalmeNyota au Oceanic?
 
Back
Top Bottom