Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,299
- 33,083
Nipe basi Detail za hao Wanawake wenye Wivu zaidi ya wanaume?Wanawake tuna wivu sana japokuwa sisi hatulindi kwa bunduki lakini mbinu zetu ni kali zaidi (usimwage kuku penye mchele mwingi)
MadameX ingetokea tumeoana, nadhani ingekuwa ndoa ndoano. Sijua nani angetangulia kumuua mwenzake, na kama u-mzuri kama avatar yako pangechimbika.Wivu wangu, naweza hata kuua