Nauliza nani muislam hapa!?

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Jamaa kajitoma mskitini ghafla majasho yanamtoka! Mkononi kashika panga kali, Akauliza,"nani muislamu hapa," watu kimya. Karudia tena kimya. Ghafla kamnyakuwa jamaa alikuwa karibu na mlangoni akaondoka nae! Kufika nje akamwambi, "nisaidie kuchinja mbuzi" jamaa kachinja alipomaliza akasema ye hawezi kumchuna mbuzi, jamaa akiwa na panga lenye damu akarudi tena msikitini! "jamani nauliza humu nani muislamu?" jamaa wakamnyooshe kidole imamu wa siku ile. Jamaa akaanza kujitetea!" aa jamani mi kuswalisha cku 2 tu ndo nimekuwa muislamu sana?" jamaa akasdema kanisaidie kuchuna mbuzi!
 
Wait a minute,they are coming and you will get what you were seeking,mi simo!
 
Teteteh, duh yaaani jamaaa wanaikana imani yao kisa tu wameona panga lina ng'aa?hapo ndo utajua wapi waumini wakweli na fake, you made my day
 
Teteteh, duh yaaani jamaaa wanaikana imani yao kisa tu wameona panga lina ng'aa?hapo ndo utajua wapi waumini wakweli na fake, you made my day
It was said: "Sikuwaumba kwa jingine ila kwa ajili ya kuniabudu" Uhai ni lazima ulindwe kwa gharama zote. Ni wakati wa kupigania dini - jihad uhai unaweza kuwekwa rehani kwa ajili ya kutetea uislam. Hushangai kuona Papa akiendeshwa kwenye kiberenge kinachozuia risasi kupenya, licha ya kuzingwa na majasusi wa mafia kote aendako...anachokiogopa si kinafahamika? na si inafahamika kuwa safairi ya kufika peponi huanza baada ya mauti..lakini ni yupi anayelilia apatwe na mauti ili aharakishe kufika peponi?
 
Ha haa haaa haaaaaaaaaaaaa....................... safi sana mkuu, nimechekhaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom