Nauliza na masomo ya kidini kuna Phd?

Mdwenke

Member
Jul 16, 2012
78
55
Nimerekebisha thread yangu nauliza tena hivi aliyesomea masomo ya dini yake ama dhehebu lake (ktk Uislamu na Ukristo) anaweza kufikia level ya Phd kama ilivyo katika elimu ya kidunia?

Naombe mod usiipotezee tena hii thread yangu.
 
Zipo nyingi tu mbona katika nchi za kidini dini kama middle east including Israel wanatoa ma-professor wa design hizo. Hila kuna hawa wa western scholars ambao wana specialize kwenye religious studies but their aim is to clarify claims or discount them based on evidence.

Masomo yenyewe ya western unaweza sema yapo more of religious anthropology than, the doctrines preached by religious school of thought (no questioning). Hawa wa west hawapendwi sana kwa sababu as times goes evidence nyingi za dini zinarudi zilipoanzia amini usiamini mwafrika ndio mtu wa kwanza kusema mungu yupo mitaa ya angani, vilevile wanakanusha madai mengi ya watu wa wadini za kiarabu na za kizungu ambazo somehow most of their facts are based on cooked propaganda of their eras.
 
Zipo nyingi tu mbona katika nchi za kidini dini kama middle east including Israel wanatoa ma-professor wa design hizo. Hila kuna hawa wa western scholars ambao wana specialize kwenye religious studies but their aim is to clarify claims or discount them based on evidence.

Masomo yenyewe ya western unaweza sema yapo more of religious anthropology than, the doctrines preached by religious school of thought (no questioning). Hawa wa west hawapendwi sana kwa sababu as times goes evidence nyingi za dini zinarudi zilipoanzia amini usiamini mwafrika ndio mtu wa kwanza kusema mungu yupo mitaa ya angani na kukanusha madai mengi ya watu wadini ambao somehow cooked for their propaganda.

Asante sana, sasa naomba unisaidie kuhusu Phd ya Katibu wetu WanaCDM
 
Asante sana, sasa naomba unisaidie kuhusu Phd ya Katibu wetu WanaCDM

Hila sioni tatizo lipo wapi au?

unasikiliza sera zake ama unataka kujua elimu yake, maana viwili hivyo aviingiliani. Anyway kawakua anayo elimu ya dini unategemea stong moral views kwa mtu kama yeye considering uozo uliopo na hali ya nchi may be we need a politician with those values and qaulities to instill equality thinking within us, ama?
 
Sina hakika katika Uislam kama huwa kuna PHD lakini katika Ukristo zipo nyingi tu, ukisikia mtu ana cheti kinaitwa DD maanake ni kuwa yeye ni Doctor of Divinity, au Masters of Divinity au Masters in Ministry, kwahiyo zipo ngingi tu, baadhi ya Vyuo vinavyo toa Elimu hiyo hata hapa Bongo vipo tena vingi tu.

kuhusu Dr Slaa, nafikiri yeye ni mtaalam wa sheria, hivi kama mtu ni msomi, Lugha ya Dr Slaa mbona huwa inaonesha tu kuwa ni mtaala wa sheria? rejea hotuba yake ya MwembeYanga 2007 alipotaja Top 11 of corrumption In Tanzania, kama ni mtafiti utajua tu kuwa ni mwelewa katika maswala hayo.
 
wewe unajingine lako,umeelezwa vizuri kabisa..Phd.za dini hasa katika dini ya kikristo zinatambulika dunia nzima na wapo wanaofanya kazi na hizo Ph.D kwenye mashirika makubwa duniani wewe na Ph D.yako ya engeneering huoni ndani..kama international Red cross,UNHCR,Hope for Children,YMCA..na mengine mengi unayoyajua..kwa maelezo mengine kamuulize Dr.Asha Migiro atakwambia ..
 
PHD za dini zipo navyojua dr slaa alisoma pamoja na paroko wetu hiyo PHD miaka mitano vatican roma na vibaadhi vya kozi kozi na sasa huyo paroko yupo pale st augustino university ila sijui anafundisha somo gani,
 
[h=3]Postgraduate (PhD) Degrees in Islamic Finance, Banking, Management and Economics[/h]DCIEF offers specialised research degrees in most areas of Islamic finance, banking, management and economics. As part of the degree programme students normally attend the MA/MSc modules on Islamic economics and finance offered in the programme (if their degrees are not Islamic finance related). There are also weekly Research Support Workshops.
The Research Degrees offered in Islamic Finance, Banking, Management and Economics are recognised all over the world.
Find out more about PhD study
 
Tusipoteze muda kumwelimisha huyu jamaa , Jina lake litakwambia ni mtu wa aina gani(Zinjathropus)
 
Mkuu for further information, In Tanzania you can get the Best answers on Theology at Makumira University in Arusha. So far to my knowledge it is the Best in areas of higher learning.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom