Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Wakuu heshima mbele,

Naomba kuuliza swali moja kwa anaejua. Muhingo Rweyemamu ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe hivi karibu na Salvatory Rweyemamu a.k.a Salva ambaye ni Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ni ndugu?

Maana naona wote ni wanatumia Surname ile ile na wote ni wanahabari by Professional na wote wamewahi kupita Habari Cooperation kama sikosei. Najua watu kufanana Surname siyo lazima wawe ndugu so naomba msinipe hiyo changamoto maana naifahamu.

TUMBIRI - (Hull University, UK),
JF Daima
 
Wakuu, hawa jamaa hawana undugu wowote wa damu. Ingawa ni kweli wote ni wahaya wa Bukoba, lakini hawana uhusiano.

Muhingo ni mwenyeji wa Misenyi na Salva anatokea Muleba. Wote wamewahi kufanya Habari Coop, mmoja akiwa mmiliki (Salva) mwingine akiwa mwandishi ila wote ni watu wa kaka mkubwa!
 
Alichosema chaArusha ni kweli hawa ni watu wawili tofauti japo majina yanafanana, isitoshe katika New Habari kuna mtu mwigine anaitwa Chrisostom Rweyemamu je na yeye mtasema ni ndugu? Jibu ni wazi kuwa si ndugu japo wapo kwenye fani moja.

Muhingo taaluma yake ni mwalimu wa sekondari hivyo alibadili taaluma na kuja fani ya uandishi wa habari, wakati Salva yeye taaluma yake ni uandishi wa habari na huyu Chrisostom yeye alikuwa mwalimu wa vyuo vya uandishi wa habari na wote siyo ndugu.

Chukua hili kutoka kwangu ambaye nimewahi kufanya nao kazi tangu kuanza kwa DIMBA na RAI na mpaka kuwa Habari Corporation na hatimaye kuwa New Habari 2006 chini ya RA.

Nadhani nimeweka swali la muulizaji sawa. Ahsante

Pia Muhingo siyo mtu TISS kama watu wanavyodai ila alikuwa anajaribu kujipenyeza wakati ule wa kampeni za JK hivyo na vile alikuwa mratibu wa media wengi walidhani naye ni mtu wa TISS, ukweli siyo. Ikumbukwe kuwa mtu yeyote aweza kuwa mwana usalama kwa taifa lake na si lazima uwe kwenye ile idara.
 
Ni ndugu na wote walikuwa habari coporation na wote ni walamba viatu vya Jk na kawatoa wote.,ila MKUU WA WILAYA YA KOROGWE NI MRISHO GAMBO,nadhani muhingo yupo Lushoto
 
Wenye data zao leteni maana kwa hali ilivyo tunapata utata kwa jinsi walivyopajikwa kwenye systems maana ukiangalia wote walikuwa Habari Corporation kipindi gazeti la Rai lilikuwa kweli nguvu ya hoja mara likanunuliwa RA uhondo uliokuwepo ukaondoka na baada ya uchaguzi mkuu Silva akawa kurugenzi ya habari wakati Mugingo akiwa anaendelea na Habari corporation.

Uchaguzi wa 2010 Muhingo aliendelea kuwa mratibu wa vyombo vya habari kwa mgombea mmoja wa urais ambaye alikuwa anayawekea ngumu baadhi ya magazeti ambayo yalikuwa yanaandika tofauti na mgombea wao, lakini mwisho wa siku na yeye amekumbukwa kwa kazi nzuri kipindi cha chaguzi ya 2005 na 2010 kwa kupewa ukuu wa wilaya.

Ukiangalia link iliyopo kati ya mmilki, wao wenyewe na aliewachagua hapo unaona kama wanauhusiano wa karibu.
 
Wanabebana.......na wamelipwa fadhila!!!kwa kazi fitna waliofanya!!waangalie isije ikawa miaka yao 3 tu ya mwisho ya JK!!
 
Ni mtu na mdogo wake mkuu...na Muhingo nahisi ni TISS vile vile alitupashida sana wakati sheria ya bodi ya mikopo inapitishwa kwani kila mgomo ulipokuwa ukipangwa yeye anawataarifu watawala wa magamba...hii inaonyesha jinsi tanzania inavyoendeshwa kwa NEPOTISM
 
Wakuu sijui Tumbiri achukue lipi? Wengine wanasema ni ndugu na wengine wanasema sio!
 
Muhingo ni dc wa Handeni. ila hapa naona bado Tumbiri hajapata jibu la uhakika!
 
Ni Warundi waliojipenyeza Tanzania na ni vibaraka wakuu wa Rostam Aziz na kundi lake!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom