Ndicho nilichomtahadharisha nacho mwanzishaji wa huu uzi, kuwa anatafuta ugomvi! ona sasa kuandaa kwangu mazingira mazuri ya huu mjadala kunaishia mimi kuonekana kuwa ni mchafuzi wa jamvi!Nyie ndo mnalichafua jamvi nakuonekana kuwa ni la vilaza. Mada umeielewa au umeamua kutumia moyo wako kuchangia badala ya kutumia kichwa?
Nchi hii hutakiwi kugusa chochote kilicho na maslahi ya Kanisa!