Nauliza: Katiba inatakiwa kudaiwa na vyama vya siasa au wananchi?

kwani kunatofauti kati ya wananchi na wanasiasa? kwa mwendo huu elimu inahitajika katika jamii
 
unadhani wananchi watadai bila kuwa na wa kuwaelimisha na kuwaongoza.Kwani harakati za kudai uhuru zilikuwaje.
Utakuwa umepata jibu,hata dictator anajua.
 
Hicho chama cha siasa kimembeba nani au bila uwepo wa watu kingekuwepo?

Wewe ulishawahi kusimama kwa miguu yako kudai katiba?
Maoni ya katiba yalitolewa na watu wakiwa ki-binafsi, ki- vyama, ki-madhehebu, nk.
Kama ulitoa maoni binafsi bila kuyawasilisha kama maoni ya wengi ulidai katiba ki vyako
 
Kwani Vyama vya siasa ni Mashetani au ni Watu, Na mimi nauliza Je serikali inatakiwa Kusimamiwa na Watanzania au CCM?
 
Back
Top Bottom