Nauliza jamani!

Shery

Member
Jun 16, 2011
45
3
Habari zenu JF!naomba kuuliza jamani,mwenye ufahamu kuhusu application za diploma ktk fani za afya kupitia wizara ya afya zinatoka lini na je kama mtu atachaguliwa kusomea clinical officer(tabibu) atasoma kwa miaka mingapi?hapa namaanisha matokeo ya application zilizofanywa mwezi wa 4/5 mwaka huu.NAWASILISHA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom