Nauliza hivi haya mapendekezi yanayozungumzwa kwenye mujadala ya katiba yanafika sehe

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Ni muda sasa tangu Raisi akubali mapitio ya katiba ya zaman na Marekebisho au kuundwa kwa Katiba Mpya.. na tokea Raisi katoa Ridhaa hiyo kumekuwa na mijadala mingi sana inayo anzishwa na Wafurukutwa wa Maendeleo ya Nchi yetu ya Tanzania, nchi yenye amani ya Nje na Magongano ya ndani kwa ndani...

Sasa hofu yangu kubwa ni kwamba Watu wenye akilizao Timamu wanaacha shughuli zao kushiriki katika mijadala hiyo,, ili tu wawaweke aware Watanzania wote asioja kwanini kunahitaji la KATIBA MPYA.. isitokee mapendekezo yanayo Jadiliwa hayafanyiwi kazi jamani

Kwasababu nchi hii Viongozi wa ngazi ya juu wanapenda sana kujaribu vitu huku wasijue madhara ya vitu hivyo Mfano Maandamano ya Arusha,

Haya mapendekezo yatafanyiwa kazi jamani
 
Back
Top Bottom