Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 792
- 57
Ndugu Wana JF,
Nimekuwa natumia kupiga simu nyumbani Tanzania kutoka huku niliko (Finland) kwa kupitia intervoip na nikahamia actionvoip. Kuhama kwangu kulitokana na gharama kupanda. Kwasasa hata actionvoip gharama imepanda, kulingana na kipato changu. Kwasasa ni 0.12/min. Nimecheki intervoip, voip, n.k nimekuta bado gharama. Ndugu yeyeto ambae anafahamu kapuni gani, au njia gani inatumika kupiga simu ambazo gharama zake ni kidogo?
natambua uwepo wa skype, yahoo lakini ningependa kufahamu hii ya calling to mobile phones....
Asante