Nauliza, AshaDii...

Status
Not open for further replies.

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Jee, AshaDii na SteveDii ni mtu na mkewe? ndugu? au mtu mmoja? au hawana uhusiano wowote ni coincidence ya id tu?
 
Jee, AshaDii na SteveDii ni mtu na mkewe? ndugu? au mtu mmoja? au hawana uhusiano wowote ni coincidence ya id tu?

You have gat to be kidding me... Yaani Zomba tumetoka vizuri

Jukwaa la elimu usiniulize uje ufungue Thread?? Dah!
 
You have gat to be kidding me... Yaani Zomba tumetoka vizuri

Jukwaa la elimu usiniulize uje ufungue Thread?? Dah!

Nilivyotoka kule nikakumbana na SteveDii kwenye nyuzi za ubishi wa kisiasa, ndio ikani strike ile similarity ya Dii kwenye id zenu. Nikaona niulize jamani, jee nimefanya kosa? kama kosa mnisamehe sana.
 
Kuuliza sio kosa... ila bana wewe member toka 2007 ina maana

ni mtaalam wa VM na PM... Why not ask me au Steve Directly?

Sasa hii thread tutajadili nini? maana jibu tayari ndio hilo...
 
Karibuni tena watoto wote katika kipindi mkipendacho, kipindi cha Mama na Mwana. Siku ya leo hakuna watoto waliotutembelea studio, ila nimewaandalia hadith nzuri sana ya Mwana na Bint Mfalme. Leo mtakuwa nami Uncle Bob XP, ila shangazi yenu Deborah Mwenda, hatokuwepo kwa sababu zisizo weza kuzuhilika.

Haya basi na tuanze...

Paukwaa... Pakawaaa...!

Alitokeani... Naaam Twahib!

Alitokea chanjagaa... kajenga nyumba kakaaa... Na kilango cha kupita... Mwanangu mwana wa Siti Vijino kama Chikichi!

Hadithi... Hadithi...!

Hadithi njoo.

Hapo zamani za kale, paliondokea mtoto wa mfalme, alieishi nchi ya mbali sana, jina lake lilikuwa Stive D. Akakaa, akakaaa, akakaaaa, akakaaaaaaa weeeeeee, mwisho akahamia nchi za ughaibuni, akabadilisha na jina akajiita Stive Dii.

Katika nchi ile aliyo hamia kulikuwa na Bint Mfalme aliyejulikana kwa jina la AshaD, Bint aliyekuwa mrembo jamali na mwenye kuvutia kwa kila hali, mwenye shingo ya upanga alikuwa aking'aa kama mbalamwezi.
Basi siku moja akatoka kwenda kutembea, akakutana na mtoto wa Mfalme aliye hamia nchini mwao. Akamuuluza je waitwa nani wewe kijana jamali mwenye kuvutia kama kama jua la asubuhi. Yule mtoto wa mfalme akamwitikia kwa kumwambia, uko kwetu nilikuwa naitwa StiveD, ila kwenye nchi hii ya kuvutia, nimehamua kujiita StiveDii, ili nisijione mgeni na kuondoa upweke nilio nao.

Basi Bint mfalme naye kwa kupendezeshwa na jina lile, na kwa kumuonea huruma na ili kumuondoa upweke, akaamrisha kuanzia siku ile naye asiitwe tena AshaD, bali aitwe AshaDii, ili afanane na mwana mfalme aliyekuja toka nchi ya mbali...! Kuanzia siku ile majina yao yakawa yanaishia na Dii, yaani StiveDii na Asha Dii...!

Basi kwa leo tuishie hapo,
Je Bint Mfalme na Mwana mfalme wataishia wapi?

Hadith inaendelea na usikose wiki ijao...!

Ni mimi uncle wenu, Uncle Bob XP, nikiwaageni, kwaherini, bai bai.
 
Karibuni tena watoto wote katika kipindi mkipendacho, kipindi cha Mama na Mwana. Siku ya leo hakuna watoto waliotutembelea studio, ila nimewaandalia hadith nzuri sana ya Mwana na Bint Mfalme. Leo mtakuwa nami Uncle Bob XP, ila shangazi yenu Deborah Mwenda, hatokuwepo kwa sababu zisizo weza kuzuhilika.Haya basi na tuanze...Paukwaa... Pakawaaa...!Alitokeani... Naaam Twahib!Alitokea chanjagaa... kajenga nyumba kakaaa... Na kilango cha kupita... Mwanangu mwana wa Siti Vijino kama Chikichi!Hadithi... Hadithi...!Hadithi njoo.Hapo zamani za kale, paliondokea mtoto wa mfalme, alieishi nchi ya mbali sana, jina lake lilikuwa Stive D. Akakaa, akakaaa, akakaaaa, akakaaaaaaa weeeeeee, mwisho akahamia nchi za ughaibuni, akabadilisha na jina akajiita Stive Dii.Katika nchi ile aliyo hamia kulikuwa na Bint Mfalme aliyejulikana kwa jina la AshaD, Bint aliyekuwa mrembo jamali na mwenye kuvutia kwa kila hali, mwenye shingo ya upanga alikuwa aking'aa kama mbalamwezi.Basi siku moja akatoka kwenda kutembea, akakutana na mtoto wa Mfalme aliye hamia nchini mwao. Akamuuluza je waitwa nani wewe kijana jamali mwenye kuvutia kama kama jua la asubuhi. Yule mtoto wa mfalme akamwitikia kwa kumwambia, uko kwetu nilikuwa naitwa StiveD, ila kwenye nchi hii ya kuvutia, nimehamua kujiita StiveDii, ili nisijione mgeni na kuondoa upweke nilio nao.Basi Bint mfalme naye kwa kupendezeshwa na jina lile, na kwa kumuonea huruma na ili kumuondoa upweke, akaamrisha kuanzia siku ile naye asiitwe tena AshaD, bali aitwe AshaDii, ili afanane na mwana mfalme aliyekuja toka nchi ya mbali...! Kuanzia siku ile majina yao yakawa yanaishia na Dii, yaani StiveDii na Asha Dii...!Basi kwa leo tuishie hapo, Je Bint Mfalme na Mwana mfalme wataishia wapi?Hadith inaendelea na usikose wiki ijao...!Ni mimi uncle wenu, Uncle Bob XP, nikiwaageni, kwaherini, bai bai.
Hadithi nzuri sana....Asante
 
Kuuliza sio kosa... ila bana wewe member toka 2007 ina maana

ni mtaalam wa VM na PM... Why not ask me au Steve Directly?

Sasa hii thread tutajadili nini? maana jibu tayari ndio hilo...

AshaDii hajatoa jibu bado kama yeye na SteveDii ni mr & mrs, ndugu, au ni coincidence ya jina....tunahitaji kujua ili tuweze fikisha heshima husika...si unajua majibu ya hayo maswali yataleta heshima tofauti kwa wote? jibu bana maswali...usiyakwepe
 
Manumbu did not get you there... Una maana gani??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom