Mkiandamana tena kupinga nauli hizi tutaua twice as much, tulia tuliii, nchi itawalike bila mizengwe.
Mnataka kuanzisha chokochoko kwenye Kisiwa cha Amani?
Safi, ni wakati wa vitendo. Wengine wanadhani haya ni mapambano ya kina Slaa, Mbowe, Lipumba et all pekee, mnaporwa haki taratibu kwa mtindo huu, rais anaongea kirahisi tu kuwa "kupanda kwa gharama za umeme hakukwepeki" na sekta kama hii ya usafirishaji wanasikia, mnatarajia wao wakubali kubakia chini? Tatizo si wasafirishaji, mfumo mzima umeanza kuvunda baada ya kuoza, kila kitu 'holela' tu, hakuna wa kukemea!No more talking. It's action time. Mi sasa actions kwa kwenda mbele. Mtanisoma tu....
Mkuu huamini statement hii ktk avatar yangu?
Mkuu, suala hapa si kuandika tu, mfano hai kaonyesha Josephine ambaye damu yake imemwagika pale Arusha!this time i will kill
Puppet you!
Unafahamu maana ya amani wewe? Katafute kamusi ujielimishe kwanza. Kwasababu tu watanzania walikuwa wavumilivu wa kureact haina maana hiyo ndio amani. Imani itakuwepo vipi kama mwenzako anakula paja la kuku halafu hapo hapo anakunyang'nya hata huo mchicha wa kuchemsha unaokula? I think the mesage on your avatar should seriously be applied to you!!
Paka shume ww fisadi papa
Nikisoma hii post nahisi kutetemeka ...Maaana huyu jamaaa nikumuita zuzu nakosea anweza kuwa ni marehemu anayeishiii...aghGGGGGGGGGHHHHHHHHHHHH:A S-devil1:
Tufanye kama Arusha tu mkuu. UNafikiri kuna jingine?
Nimesikiliza mapendekezo ya nauli mpya za mabasi zikanistua sana, nikaogopa sana na kujiuliza nchi hii tunaelekea wapi..?
Kumbuka kupanda kwa nauli hizi kutasababisha kupanda kwa bei za bidhaa karibu zote hapa nchini na sana sana mikoani kwa ndugu zetu ambao maskini wa Mungu kipato chao....
Ndugu Wana JF, kama watanzania tufanyeje kuepusha balaa hili?
Who?this time i will kill