Nauli za daladala Dar kupanda

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Mda wowote kuanzia sasa nauli za daladala zitapanda ili kukidhi hari halisi ya uendeshaji na gharama za maisha kupanda.

Watanganyika tujipange kwa haya maisha bora ya kwa kila Mtanganyika.

Tumedhubutu........., tumeweza............
 
Mda wowote kuanzia sasa nauli za daladala zitapanda ili kukidhi hari halisi ya uendeshaji na gharama za maisha kupanda. Watanganyika tujipange kwa haya maisha bora ya kwa kila Mtanganyika. Tumedhubutu........., tumeweza............
ccm hoyeeeee! Wakazi wa dar ccm juuuuuuu
 
Ajabu, mchele Dec kwa dar sokoni ulikuwa una range sh 1,900 leo shs 2800.

Tumeshazoea kuumizwa na kulalamika kwenye mashuka na neti.
 
sasa itaongezeka shingi mia kila ruti na mwanafunzi tunamuongezea 50 ili iwe 200 sababu tunataka kuiondoa kinyemela shingi 50.

beno ndulu lini utaleta 20,000 ya pamoja?
 
Ni Bora Mambo kwa Dar Yazidi Kuwa Magumu ili watu wafunguke na Kuanza Kudai Haki!! Kama uboreshaji wa usafiri wa Jumla, Hali bora za Makazi, Huduma bora za Maji safi, Miundombinu ya barabara nk,nk,.....
 
Kuendelea kuwa na sisiemu ni janga la kitaifa.mpaka kufika 2015 nauli itakuwa 1000,na mwanafunzi 500.
 
natamani nauli ipande maradufu,umeme ukae ivo ivo kimgao mgao na bili inakuja hata kama umeme na maji yamekatika,apo ndo wanambagala,temeke na ilala watakapopata akili ya kumchagua mwakilishi mwenye uchungu na wananchi...wamethubutu,wameweza na wazidi kusonga mbele!
 
Mda wowote kuanzia sasa nauli za daladala zitapanda ili kukidhi hari halisi ya uendeshaji na gharama za maisha kupanda.

Watanganyika tujipange kwa haya maisha bora ya kwa kila Mtanganyika.

Tumedhubutu........., tumeweza............

Inatakiwa ifike kabisa 1,000/=kwa kila ruti moja sababu hawa binaadamu(Watanzania)kwa maneno hawadikii wala kuona Ila vitendo vitawaamsha huko walipolala
 
Zipande tu hata mpaka 5,000/-. Mliambiwa JK kurudi madarakani ni Janga la Kitaifa mkabisha haya muyaone sasa.
 
na kweli zipande maradufu wadanganyika wamelala sana naona wataanza kutembea kwa miguu hawashindwi ili wasilalamike. aliyeiroga TZ kishakufa so TZ wanaona ni haki yao mateso yote,wk kwn usingizi mzito sn. Chai,Chapati,Mchuzi kidumuuuuuuuuuuuu. Kidumuuuuuuuuuuuu.
 
Mda wowote kuanzia sasa nauli za daladala zitapanda ili kukidhi hari halisi ya uendeshaji na gharama za maisha kupanda.

Watanganyika tujipange kwa haya maisha bora ya kwa kila Mtanganyika.

Tumedhubutu........., tumeweza............

Mbona nauli mimi ilishapanda siku nyingi,kuna basi moja lina charge tshs 2000 toka mbezi mpaka posta hivi hiyo haitoshi tu.Halafu hilo basi limewashawishi abiria wanaolitumia basi hilo wajiunge kwenye saccos ya kizushi tu.
 
Mda wowote kuanzia sasa nauli za daladala zitapanda ili kukidhi hari halisi ya uendeshaji na gharama za maisha kupanda.

Watanganyika tujipange kwa haya maisha bora ya kwa kila Mtanganyika.

Tumedhubutu........., tumeweza............

Ni lazima tulipie gharama za mkuu wa nchi kutalii Ulaya na kwingineko Barani Africa...Maisha bora kwa kila mtanzania si ndiyo hayoooo wa JF acheni kuchonga ili hali mlichagua ugumu wa maishaaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom