nauli kwa umbali

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,509
7,532
jamani, niliwahi kusikia kwamba miaka kadhaa iliyopita kulikuwa na mfumo wa kulipa nauli kulingana na umbali aliosafiri abiria hapa bongo. hivi hili lina ukweli wowote? na kama ni la ukweli, kwa nini mfumo huo uliachwa? nadhani kuna haja ya kuirudisha huu mfumo, unaweza kuchangia kupunguza gharama za usafiri kwa kiasi fulani kwa baadhi ya watu. wadau mnaoishi au mliowahi kutembelea/kuishi maeneo mengine duniani mifumo ya huko iko vipi?
 
mimi ambaye sijawahi toka nje ya bongo sitakiwi kujibu........BONGO NI FLAT RATE .....!
 
haujawahi kuwepo but ni kitu ambacho kilipangwa kuwepo ila kama ujuavyo serikali yetu mambo yetu ni slow slow au .................. maliza mwenyewe
 
Mbona nauli kwa umbali ipo; ila siyo kisheria bali ni makubaliano kati ya wewe na conductor.... at least hiyo ni ya Daladala... Sijuie mabasi makubwa ya mkoani....
 
Back
Top Bottom