Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,758
hujakosea kujiita mchambuzi. Lakini magufuli alitumia muda kiasi gani kutoa elimu kama uliyoitoa hapo? Au ndio yale ya kupandikiza sheria kila anapoona mwanya?
Mnyika amesema kuwa tatizo ya mapato ya kivuko ni usimamizi mbovu wa pesa zinazokusanywa, kwahiyo yeye anaamini kuwa hata ile sh.100 intosha kuendesha kivuko kinachotakiwa ni kudhibiti ufisadi ktk kivuko. Kwa hapo yuko right maana serikali ya ccm ni bingwa wa kupandisha ushuru na kodi huku mapato mengi yakipotea kwa ufisadi. Magufuli angehakikisha kwanza ukusanyaji wa pesa kivukoni unasimamiwa kikamilifu baada ya hapo ndo ajue kama unatakiwa kuongeza au la. Hii tabia sio ngeni ya watu kukusanya mapato na kuyaweka mfukoni na hapo ndio ubovu mkubwa wa serikali ya ccm ulipo, dawa sio kuongeza ushuru swala ni kuhakikisha pesa zinazokusanywa zinakwenda mahali pake halafu ndo tuongeze ikihitajika. Lakini sio kufanya kazi ya kupandisha ushuru bila kutoa maelezo kivuko kinavusha watu na vitu vingapi kwa siku na hivyo ni kiasi gani kinatakiwa kukusanywa kwa siku na ni kiasi gani kinatumika kwa siku!Nakupongeza sana mchambuzi kwa kuchanganua jambo hili nafikiri hawa wabunge, wananchi na mh, makugufuli kila mmoja amepata sehemu yake iliyomgusa ktk issue hii ya nauli ya kivuko. Nilichogundua na ambacho wanasiasa wetu wanalenga ni kura tuu ndo hata mambo ambayo wanapaswa kuwaambia wapiga kura wao wanashindwa, tutapumbazwa sana na wanasiasa wa namna hii katika kutimiza malengo yetu.
Mnyika amesema kuwa tatizo ya mapato ya kivuko ni usimamizi mbovu wa pesa zinazokusanywa, kwahiyo yeye anaamini kuwa hata ile sh.100 intosha kuendesha kivuko kinachotakiwa ni kudhibiti ufisadi ktk kivuko. Kwa hapo yuko right maana serikali ya ccm ni bingwa wa kupandisha ushuru na kodi huku mapato mengi yakipotea kwa ufisadi. Magufuli angehakikisha kwanza ukusanyaji wa pesa kivukoni unasimamiwa kikamilifu baada ya hapo ndo ajue kama unatakiwa kuongeza au la. Hii tabia sio ngeni ya watu kukusanya mapato na kuyaweka mfukoni na hapo ndio ubovu mkubwa wa serikali ya ccm ulipo, dawa sio kuongeza ushuru swala ni kuhakikisha pesa zinazokusanywa zinakwenda mahali pake halafu ndo tuongeze ikihitajika. Lakini sio kufanya kazi ya kupandisha ushuru bila kutoa maelezo kivuko kinavusha watu na vitu vingapi kwa siku na hivyo ni kiasi gani kinatakiwa kukusanywa kwa siku na ni kiasi gani kinatumika kwa siku!
Alitumia muda huo bungeni kuwaeleza wabunge sasa kama wewe unataka kujua zaidi kwa nini usizipate kwanza nyaraka zinazoeleza kwa nini nauli zimepanda kwa kiasi hicho badala yake mnapinga bila hata kujua?..Kote mnalipa Tsh 300 tena ikifika jioni inapanda hadi Tsh 500 Mwenye wanatoza hadi Tsh 1000 asubuhi na jioni rush hours hamlalamiki na wala wabunge hawa hawaonekani kuwasaidia wananchi wafanyakazi wanaoliwa kila siku ya Mungu.. Kosa ni pale Magufuli katangaza nauli mpya! kosa ni pale Magufuli kasema kuvunja nyumba maeneo ambayo hayajapimwa, Kosa ni pale Magufuli amesema....hujakosea kujiita mchambuzi. Lakini magufuli alitumia muda kiasi gani kutoa elimu kama uliyoitoa hapo? Au ndio yale ya kupandikiza sheria kila anapoona mwanya?
Ukiwa kiongozi huts kiwi Kuwait Kama umaowaongoza....Hapa ndio mnapokosea....Magufuli alitoa kauli ile baada ya kuzomewa! hakuna anayesema wananchi waombe msamaha kwa kuzomea.......
Ukiwa kiongozi huts kiwi Kuwait Kama umaowaongoza....
Magufuli lazing adobe msamaha kwa kashiwa kushinda ego yake.... Ingawa Naugatuck mono kuongezeka kwa nauli
.... lakini hastahili kubadilisha msimamo juu ya ongezeko la nauli, kwani uamuzi wake ni sahihi.
Alitumia muda huo bungeni kuwaeleza wabunge sasa kama wewe unataka kujua zaidi kwa nini usizipate kwanza nyaraka zinazoeleza kwa nini nauli zimepanda kwa kiasi hicho badala yake mnapinga bila hata kujua?..Kote mnalipa Tsh 300 tena ikifika jioni inapanda hadi Tsh 500 Mwenye wanatoza hadi Tsh 1000 asubuhi na jioni rush hours hamlalamiki na wala wabunge hawa hawaonekani kuwasaidia wananchi wafanyakazi wanaoliwa kila siku ya Mungu.. Kosa ni pale Magufuli katangaza nauli mpya! kosa ni pale Magufuli kasema kuvunja nyumba maeneo ambayo hayajapimwa, Kosa ni pale Magufuli amesema....
Majuzi tu Magufuli alitaka kuingia kazini kuvunja vunja, JK akamkataza na kumwambia asifanye hivyo na watu mkafurahia sana, mara mafuriko Ya jangwani na Kigogo yametokea mnarudi tena kuwasema wale wale mlowatetea jana kuwa wamejitakia. Na hata JK kusema asiyesikia la mkuu huvunjika guu... Huyu huyu rais aliyemkataza Magufuli asichukue hatua za kisheria kwa kuwasikilizia machungu ya watu ambao hawakufuata sheria..Kama mnamwona Magufuli hafai kwa nini mnampa nafasi hizi kuongoza!
Jamani tuwe wakweli na nafsi zetu, Magufuli hana makosa maadam aliwakilisha swala hili ktk vitengo vinavyotakiwa na akapewa go ahead leo mnamwona mbaya yeye ni dhahiri kuna watu wanataka kumchafua Magufuli kisiasa na wamekuwa ktk kazi hiyo kwa muda mrefu sana.. Kama tatizo ni nauli za guta lizungumziwe na zipo taratibu zake lakini sio kupinga kila kitu.. Na wabunge hawa wanajua vizuri wanatakiwa kufanya nini kuwapunguzia makali wananchi na sii wakazi wa Kigamboni tu nchi nzima maisha yamepanda sana..na sii kutafuta umaarufu wakati bungeni hawapingi..
Inawezekana uamuzi wake wa kupandisha nauli ni sahihi au sio sahihi lakini swali langu ni kwa nini serikali haijawahi kupandisha nauli ya feri kwa miaka 14 iliyopita? Kwa nini sasa? Ni msukumo gani umeifanya serikali kupandisha nauli ya feri ghafla bila taarifa kwa wadau? Je, huu msukumo haukuwepo miaka 14 iliypopita?
Magufuli anadai mishahara imepanda, n.k, lakini hiyo mishahara imeanza kupanda mwaka huu? Weka siasa pembeni, what exactly is the reason ya kupandisha nauli? Tusiseme tuu uamuzi wake uko sahihi, but let's dig more into his decision. Why 2012 na sio miaka 14 iliyopita?
Iwapo hoja hii ni sensitive kwa baadhi ya watu humu, wale wote wenye mtazamo huo, mngeshauriana na MODs ili waifute hii thread, kama ambavyo huwa inatokea nyakati fulani fulani.
Ndio watueleze sasa, kwa kuanzia na taarifa ya ile kamati iliyoundwa kwa ajili hiyo, ambayo ripoti yake haikuwa scrtutinized, pengine kwa sababu ilikuwa sahihi, hatuji, lakini ndio imezaa haya ya leo ya kupanda kwa nauli, na kwa vigezo vya ongezeko hilo, logic ipo wazi.
heading yako kwanini isiwe nauli feri: Mtemvu, hata wewe? Au nauli feri: Ndungulile, hata wewe? Au nauli feri: Zungu, hata wewe? Au nauli feri: Wabunge, hata nyie?, ,
Mbona kwenye mada motomoto kama hizi siwaoni kina Ritz, FF, MS, Rejeo, Mama Porojo, etc.