Naugua ugonjwa ufuatao nahitaji tiba mbadala haraka!!!!

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,668
40,916
Wana JF wenzangu...leo nimeamka naugua gonjwa hili baya la UDHAIFU, UFISADI, UBINAFSI, USHIRIKINA, UONGO,KUJIPENDEKEZA, WIZI, UTAPELI,MUUNGANO,KATIBA, UAMSHO, UKOSEFU WA AJIRA, MAJI, BARABARA, SHULE , HOSPITALI, MFUMUKO WA BEI na NYUMBA NDOGO NYINGI na mengine mengi sana, ugonjwa huu umetapakaa kama kansa katika sehemu zangu muhimu za mwili wangu ziitwazo Tanganyika na Zanzibar..nimejaribu tiba nyingi tu..kama vile DOZI ya vyama vingi vya siasa..nilianza na NCCR, ikapotea..ikaja CUF , imeolewa...ikaja CDM wameanza kutukana...jamani nifanye nini mimi..nahitaji tiba mbadala haraka iwezekanavyo..nisaidieni ndugu zanguni wana JF...kwa wale wenye nia njema na afya yangu..UDHAIFU UMENIKUMBA...
 
tafuta mtu akubusti ili usonge mbele,na usiishi katika msongo wa mawazo yasiyo na tiba kwa papo hapo,tiba yake inataka mda kidogo
 
Nenda Loliondo kwa babu utakuta wadhaifu wenzako wameunga foleni wanasubiri ki-cup.
 
bado nasubiria tiba wadau..ina maana hakuna mwenye tiba ya ugonjwa wangu huo??
 
Back
Top Bottom