Nina ugonjwa wa kusahau na uume kuwa legelege

Jun 20, 2015
15
6
Habari zenu wakuu nilikua naomba madokta wa humu ndani mnisaidie kwenye haya matatizo mawili

Moja:na tatizo la kusahau sahau kwahiyo nilikuwa naomba mwenye kujua mwenye dawa naomba anisaidie.

Pili:ume wangu umekuwa legelege nashidwa kupiga mechi vizuri so nilikuwa naomba mwenye tiba naomba msaada

-Shukran
 
Acha punyeto..... Kula vyakula vya asili....
 
Habari zenu wakuu nilikua naomba madokta wa humu ndani mnisaidie kwenye haya matatizo mawili

Moja:na tatizo la kusahau sahau kwahiyo nilikuwa naomba mwenye kujua mwenye dawa naomba anisaidie.

Pili:ume wangu umekuwa legelege nashidwa kupiga mechi vizuri so nilikuwa naomba mwenye tiba naomba msaada

-Shukran
Acha punyeto
 
Nitafute mimi nipate kukupa dawa upate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Una tatizo la kisaikolojia kwa ujumla hasa la kusahau,na uume kulegea sio tatizo bali unasahau tu kuwa tayari ulishasimama na umemaliza mechi.Muone daktari wa magonjwa ya akili atakusaidia mara moja.
Nimejikuta nacheka kwa sauti ndani ya basi et kasahau km imesimama!! Hahaha
 
Mkuu;
Wengi wamekushauri na wengine kubeza. Nakuambia hivi, weye tatizo lako ni kimawazo zaidi. Kuna kitu ulipoteza ghafla, ulikithamini sana kitu hicho ukakipoteza ghafla. Yaweza kuwa ni mpenzi au hata biashara ulitapeliwa. Sasa, unapowaza habari ya ile pesa unajikuta umezidisha.
Uhitaji na mambo ya ngono havielewani. Hata kama ulikuwa unapiga 5 mfulizo utashangaa goli moja linakuwa kazi kulipata.
Dawa:
Kula vizuri vyakula vya wanga, suuzia kwa chai/kahawa. Pata nafasi ya kupumzika. Pata mwanamke asiyesumbua mara nipe za chakula, mara za saloon mara za kitchen party.
Pata mama anayekujali na kukuhurumia. Asiyetaka makuu. Pia asiye mrembo saana, usije twangiwa machoni pako. Taratiib utarudi kwenye form na hii ni baada ya kuacha kufikiri usilo liweza.
Tuambie matokeo.
 
Back
Top Bottom