Natumiaje offer ya airtel?

souvenir

Senior Member
Aug 24, 2012
136
30
Habari zenu wakuul ?eo ni mara ya pili nimepata offer ya shilingi erlfu kumi toka airtel kwenye intert,mara ya kwanza nilipata lakini nikashangaa kifurishi nilicholipa kilipoisha ikakata na leo keshatahadharisha muda wa kifurishi unaisha wakati offer ya elfu kumi bado sijaitumia.Je nasubscribe vipi ili niitumie hiyo offer please anaejua naomba mwongozo.
 
jamani msio hivyo nisaidieni mwenzuni nitumie offer yangu,chief -Mkwawa,nubert,leh, Ningar,c6,ngongo ch,Longitude ,Baba Mtu,Donn na wengineo jamani nisaidieni nitumie offer yangu
 
jamani msio hivyo nisaidieni mwenzuni nitumie offer yangu,chief Mkwawa,nubert,leh, Ningar,c6,ngongo ch,Longitude ,Baba Mtu,Donn na wengineo jamani nisaidieni nitumie offer yangu

ungepiga 100 kuongea na customer care yao watakupa muongozo mzima ukiona hivyo watu hawana idea na icho kitu sawa mkuu..
 
mkuu ndetichia nashukuru ila huwezi jua labda huku kuna employee au yeyote customer care siku hizi wanazingua that is why i will never bother to call them
 
Last edited by a moderator:
jamani msio hivyo nisaidieni mwenzuni nitumie offer yangu,chief -Mkwawa,nubert,leh, Ningar,c6,ngongo ch,Longitude ,Baba Mtu,Donn na wengineo jamani nisaidieni nitumie offer yangu

Ili mtu akusaidie inabidi nae awe kapitia pitia huko from no where inakua ngumu.

Una uhakika hio offer ni ya net? Na sio kupiga simu?
 
Habari zenu wakuul ?eo ni mara ya pili nimepata offer ya shilingi erlfu kumi toka airtel kwenye intert,mara ya kwanza nilipata lakini nikashangaa kifurishi nilicholipa kilipoisha ikakata na leo keshatahadharisha muda wa kifurishi unaisha wakati offer ya elfu kumi bado sijaitumia.Je nasubscribe vipi ili niitumie hiyo offer please anaejua naomba mwongozo.

kwa kuanzia hebu tupe ujumbe ambao ulio upata juu ya hiyo ofa.
 
Ili mtu akusaidie inabidi nae awe kapitia pitia huko from no where inakua ngumu.

Una uhakika hio offer ni ya net? Na sio kupiga simu?

Ya ni ya net Chief ni kwenye moderm na ni mara ya pili napata ila cjui zaenda wapi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom