"Natoa"

kuusikia tu umeshaanza kucheka,usijali ukame ukizidi ntakufata hukohuko Kariakoo sijui mwananyamala nawe ucheke kazini lol!
hahahahahhah kumbe kucheka kwenyewe kama huku....mwananyamala utakula roba ya mbao unenge wote uishe,huku tuachie wenyewe!
 
Ndiyo ni kweli natoa!!
Natoa avatar yangu kuanzia kesho maana naona vijino pembe wamezidi kuniandama na kunitumia pm nyingi sana. Pia naona akina Speaker, Okada, Asprini na wengine wananisakama kwamba nitoe vile haiendani na maadili. Kwa hiyo jamani mnivumilie kidogo, Kesho nitatoa.
Nawasilisha
toa tu uchafu huo....unamuonesha nani mstari wa ikweta?
 
hahahahahahhahahaha tunajuana hata ukiiga swaga tunajua siwetu huyu!
Nimepita hivyo Tandale kwahiyo Mwananyamala cha mtoto tu,kuna majita wa Temeke ndie alitufundisha staili hii miaka ileee na kutuonesha inafanya kazi akatutembeza magomeni mpaka faya saa 7 usiku roho zinadunda watoto wa uzunguni lol!
 
Kaka unitake radhi tafadhali,, nani kasema hii ni biashala? Na hilo swali lingine nimeshalijibu zaidi ya mara 100 hapa. Hiyo si avatar tu bali ni mimi mwemyewe. Kwanini niweke ya mwingine wakti Allah ameniumba nikaumbika? Najiamini sana kwa taalifa yako
acha uongo wewe si useme tu kuwa kuna msaaada wa mchina hapo........ umeumbika eti weka sura basi tuone kama inauhusiano na mchina huyo wa ma......kalio
 
hata mie mwenzangu, nikajisemea kulikoni tena, wenzake tunahamia airtel

Nilipatwa mshitukoo kwa kuona hiyo head ya kichwa cha habari...nikaja na ule wimbo wa zuwena wa Paul(remix), nilipatwa mshutukooo.....sio mwanamuziki mie
 
Hivi huyo ni mnene au ana makalio manene au ana makalio makubwa?
Hivi hayo hayawezi kusababbisha Kisukari na mapresha presha hivi??!!!

Two different thing mkuu...mwanamke mwenye makalio au makalio ya mwanamke...huyo ni ile ya kwanza...
 
Back
Top Bottom