Natoa SHUKRANI zangu kwa wana JamiiForums - Asanteni

@AshaDii, you are a very blessed creation!
Nakupongeza kwa juhudi zako (hii na nyingine nyingi), napongeza ubinadamu wako unaozidi kawaida!
Nawapongeza waliojumuika na AD kumsaidia Msinitenge.....
Pongezi kwa Msinitenge kuwa na bidii na ujasiri hadi kuweza kusaidiawa ......pamoja sana wakuu!
 
AshaDii, you are a very blessed creation!
Nakupongeza kwa juhudi zako (hii na nyingine nyingi), napongeza ubinadamu wako unaozidi kawaida!
Nawapongeza waliojumuika na AD kumsaidia Msinitenge.....
Pongezi kwa Msinitenge kuwa na bidii na ujasiri hadi kuweza kusaidiawa ......pamoja sana wakuu!


I am really humbled by your acknowledgement... Inatia sana moyo. Pamoja saana RR ...
 
Last edited by a moderator:
Usijali AshaDii. nashukuru ulipata wazo la kuseek consentz zetu ila ndo hivyo logistics zikawa ngumu. I thought of airing out my perspectives of life. As you can see, am not offended at all! It is easy to see that what you did was done bonafide

Manumbu,

Naomba nikiri kosa na kuomba samahani kwako na kwa yeyote katika hio list ambae nitakuwa nimemkwaza. Kama umenisoma hapo nimegusia kuwa kama ningekuwa na uwezo wa kumsaidia mwenyewe ilitakiwa hata isiwekwe hapa na iwe anonymous kama ilivyo mara moja moja itokeapo issue za kufanania kujitoa iwezekanapo. Yeye Msinitenge hakuelewa ni akina nani wamemsaidia, alivyorusha hii thread nikaona ni nafasi tosha kumjulisha kuwa ni akina nani pia walihusika.

Tokana na kwamba kiwango kilikuwa kikubwa (kwa uwezo wangu) ilinibidi nishirikishe. Mambo ya pesa ni magumu na kuna utapeli mkubwa sana, kuwataja ilikuwa kuwajulisha kuwa swala lishafanikishwa na pia nyie kutambua kuwa mlengwa kapokea na kushukuru.

Nikiri kuwa nilifikiria kuwaomba consent, ila nikaona tokana na mpishano wa mda inaweza chukua masaa 24 kupata majibu toka kwa wote maana wote hapa mawasiliano ni kwa PM. I would have appreciated ungeni warn mapema... I really hope umenielewa na kwamba sikulenga vibaya. Samahani sana.
 
nawapongeza wanaJF na Mungu awabariki sana kwa moyo wenu.

hii ndiyo JF...not only where people dare to speak openly but also where people dare with an open heart to give a helping hand...
 
Speaker alafu lipia basi premium membership bana! hahaha! (hapa nitabanana na Mckee anipe cha juu).

My dear, all is good now.... I believe u understand.

Ha ha ha,yaani hawa jamaa wana aibisha kweli.
Ukifulia kidogo tu unaondolewa kwenye premium ship lol.
Anyway,very soon nikikaa vizuri nitarudi tena.
 
Dah!mimi kiukweli niliiona nikaichukulia kimasihara,sikujua kama huyu bwana alikuwa serious.Pengine Mods mngesaidia kucomment kwa mtu ambayue kweli ana shida ambayo ni justifiable.Comment yangu kwako mhitaji haikuwa nzuri, nilikuelekeza uende kwa mbunge wako,nikuombe radhi na kukutakia masomo mema.
 
Aamin!

binafsi natoa na shukurani za dhati kwa AHADIi na kwa wote waliomsaidia Msinitenge. kaka
Manumbu nafikiri umemsoma AshaDii vyema hajakuweka hapa ili kuku expose ama niseme kukukuza la hasha, kwa niaba ya wana jf wote watakao soma huu uzi nakuomba samahan kama utakwazika na napenda nikuhakikishie hatutakuwa na interest zaid ya uliyokusudia wewe na daima tutakuombea ili uzidi kubarikiwa zaid. kaka Ritz najua nawe utaelewa.
 
Msinitenge,

Kwa upande wangu shukrani zako zimepokelewa na ni furaha kwangu kuwa azma niliyolenga imefanikiwa. Ilikuwa tu bahati kuwa niliona na kuguswa ingawa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kukusaidia independently (else ingeendelea kubaki anonymous).

Niliamini nikisharikisha members wachache wachangie kila mmoja kiasi kidogo litafanikiwa. Ila pia naomba utambue kuwa waliowezesha hilo zoezi na kutoa pesa ni Maxence Melo (kwa mchango wake wa kuliangalia swala kwa umakini hasa kwa vithibitisho na validity la tatizo lako pamoja na kuruhusu hili hapa JF na kwa mchango wake pia), Mike McKee (ndiye alipokea pesa moja kwa moja na kulipia pamoja na kutuma hiyo balance na kuongeza mchango wake pia).

Fellow members waliochanga moja kwa moja Bishanga, Zion Daughter, Kaunga, Ritz, Ndahani, Mamndenyi, Mentor, Consigliere na Manumbu

Mwenyezi Mungu akuwekee wepesi katika masomo na maisha yako pia. Na akujalie uwe na uwezo na roho huko mbele ya kuweza kusaidia wale ambao watahitaji msaada kwako pia.

Pamoja Saana,

AshaDii.

M/Mungu awabariki wote......pale mlipotoa aongeze mara dufu
 
Hii issue imenigusa sana! The GOD I believe in JESUS name will bless you all!!!
 
Mungu awabariki sana,..nimeguswa na kushangaa sana kuona hata Ritz naye ana moyo wa huruma na kusaidia wengine....Mungu awazidishie wakuu
daah!sasa hii too much ritz naye si binadamu
 
Dah!mimi kiukweli niliiona nikaichukulia kimasihara,sikujua kama huyu bwana alikuwa serious.Pengine Mods mngesaidia kucomment kwa mtu ambayue kweli ana shida ambayo ni justifiable.Comment yangu kwako mhitaji haikuwa nzuri, nilikuelekeza uende kwa mbunge wako,nikuombe radhi na kukutakia masomo mema.
ni vizuri kukiri kosa..unaonyesha uwajibikaji
 
Back
Top Bottom