Natoa SHUKRANI zangu kwa wana JamiiForums - Asanteni

ashadii nakupongeza sana kwa kuratibu shughuli hii ambayo imemuwezesha huyu kijana kuendelea na masomo, jamani jf sasa naiona km ni zaidi ya mtandao ila sasa member wake wamekuwa km familia moja ingawa huwa tunakuwa na maoni tofauti tofauti kuhusiana na hoja mbalimbali ila kwenye maswala muhim km hili huwa tunashirikiana, maswala ya msiba huwa tunafarijiana na masuala ya furaha huwa tunafurahi pamoja. Mungu ibaliki familia ya jf

Maneno yako katika post hii nakubaliana nayo yoote. Nakushukuru kwa acknowledgement juu ya zoezi hili... Really humbled. Pamoja saana.
 
binafsi natoa na shukurani za dhati kwa AHADIi na kwa wote waliomsaidia Msinitenge. kaka
Manumbu nafikiri umemsoma AshaDii vyema hajakuweka hapa ili kuku expose ama niseme kukukuza la hasha, kwa niaba ya wana jf wote watakao soma huu uzi nakuomba samahan kama utakwazika na napenda nikuhakikishie hatutakuwa na interest zaid ya uliyokusudia wewe na daima tutakuombea ili uzidi kubarikiwa zaid. kaka Ritz najua nawe utaelewa.

Mdogo wangu mpendwa... Kwa maelezo haya na yangu, naamini kabisa kuwa sasa Manumbu ataelewa na kusamehe pia. Nashukuru kwa support na acknowledgement dear - Appreciated. Pamoja saana gfsonwin.
 
Last edited by a moderator:
Msinitenge,

Kwa upande wangu shukrani zako zimepokelewa na ni furaha kwangu kuwa azma niliyolenga imefanikiwa. Ilikuwa tu bahati kuwa niliona na kuguswa ingawa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kukusaidia independently (else ingeendelea kubaki anonymous).

Niliamini nikisharikisha members wachache wachangie kila mmoja kiasi kidogo litafanikiwa. Ila pia naomba utambue kuwa waliowezesha hilo zoezi na kutoa pesa ni Maxence Melo (kwa mchango wake wa kuliangalia swala kwa umakini hasa kwa vithibitisho na validity la tatizo lako pamoja na kuruhusu hili hapa JF na kwa mchango wake pia), Mike McKee (ndiye alipokea pesa moja kwa moja na kulipia pamoja na kutuma hiyo balance na kuongeza mchango wake pia).

Fellow members waliochanga moja kwa moja Bishanga, Zion Daughter, Kaunga, Ritz, Ndahani, Mamndenyi, Mentor, Consigliere na Manumbu

Mwenyezi Mungu akuwekee wepesi katika masomo na maisha yako pia. Na akujalie uwe na uwezo na roho huko mbele ya kuweza kusaidia wale ambao watahitaji msaada kwako pia.

Pamoja Saana,

AshaDii.

Asanteni kwa kutuwakilisha. Ombi kama kuna uwezekano, tuwe na wizara mbali mbali humu Jf, tuwajue mawaziri wa kila idara ili kama kuna mwanjamii flan ana tatizo ambalo ni genuine linalohusu idara hiyo waziri ajitokeze kutuhabarisha, ili wenye moyo wa kuchangia wafanye hivyo. itakuwa ni jukumu la wizara kuhakiki vielelezo, wakijiridhisha, waje kwa wanaJf kuomba michango. Najua wengi wetu hatuna ujuzi na muda wa kuhakiki nyaraka, panel ya waziri husika itafanya kazi hiyo. Najua humu ndani kuna wanasheria (watajikusanya wizara ya sheria), Madaktari wataunda wizara yao, wanamuziki, wanasoka, macartoonist, waandishi wa habari nao na wizara yao nk. kwa kadiri tutakavyoona inafaa.

Dada AshaDii, naomba mimi uwe una ni PM kunijulisha kama kuna kitu unaona ni genuine kuchangia, nakuamini dada!!
 
Naomba hela ya harusi mkuu,wiki ijayo namwoa The secretary.
 
Last edited by a moderator:
hii ndio JF ahsanteni kwa mliyofanya jamani this is more than facebook watu huamini hata watu wasioowaona this is nice Mungu awazidishie

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Nafikiri ndo maana kichwa aliyebuni/tengeneza hii kitu akaamua kuiita JAMIIFORUM! I have always felt at home here at Jf from day 1!!
 
Manumbu,

Naomba nikiri kosa na kuomba samahani kwako na kwa yeyote katika hio list ambae nitakuwa nimemkwaza. Kama umenisoma hapo nimegusia kuwa kama ningekuwa na uwezo wa kumsaidia mwenyewe ilitakiwa hata isiwekwe hapa na iwe anonymous kama ilivyo mara moja moja itokeapo issue za kufanania kujitoa iwezekanapo. Yeye Msinitenge hakuelewa ni akina nani wamemsaidia, alivyorusha hii thread nikaona ni nafasi tosha kumjulisha kuwa ni akina nani pia walihusika.

Tokana na kwamba kiwango kilikuwa kikubwa (kwa uwezo wangu) ilinibidi nishirikishe. Mambo ya pesa ni magumu na kuna utapeli mkubwa sana, kuwataja ilikuwa kuwajulisha kuwa swala lishafanikishwa na pia nyie kutambua kuwa mlengwa kapokea na kushukuru.

Nikiri kuwa nilifikiria kuwaomba consent, ila nikaona tokana na mpishano wa mda inaweza chukua masaa 24 kupata majibu toka kwa wote maana wote hapa mawasiliano ni kwa PM. I would have appreciated ungeni warn mapema... I really hope umenielewa na kwamba sikulenga vibaya. Samahani sana.
AshaDii na Manumbu, na wote mliotajwa. Mlichokifanya ni kitendo cha utu na busara kabisa, guess what! you're the heroes.
Kama kuna mapungufu ni ya kibinadamu na yasituondoe katika utu wetu na ukweli wa jambo hili jema sana.
Tumtakie Msinitenge masomo mema!
 
Asanteni kwa kutuwakilisha. Ombi kama kuna uwezekano, tuwe na wizara mbali mbali humu Jf, tuwajue mawaziri wa kila idara ili kama kuna mwanjamii flan ana tatizo ambalo ni genuine linalohusu idara hiyo waziri ajitokeze kutuhabarisha, ili wenye moyo wa kuchangia wafanye hivyo. itakuwa ni jukumu la wizara kuhakiki vielelezo, wakijiridhisha, waje kwa wanaJf kuomba michango. Najua wengi wetu hatuna ujuzi na muda wa kuhakiki nyaraka, panel ya waziri husika itafanya kazi hiyo. Najua humu ndani kuna wanasheria (watajikusanya wizara ya sheria), Madaktari wataunda wizara yao, wanamuziki, wanasoka, macartoonist, waandishi wa habari nao na wizara yao nk. kwa kadiri tutakavyoona inafaa.

Dada AshaDii, naomba mimi uwe una ni PM kunijulisha kama kuna kitu unaona ni genuine kuchangia, nakuamini dada!!

Moto2012,

Nimekusikia na kukupata kabisa... Ila sijui kuhusu hizo wizara, labda wengine watoe wazo, ila kwa jinsi JF ilivyo sasa kwa muktadha wa yale ambayo alieleza Maxence Melo katika interview ya 101 https://www.jamiiforums.com/great-t...ew-with-jamiiforums-founder-maxence-melo.html (ambayo haijaisha hadi leo Lol) ni kwamba uendeshaji wake kwa sasa kidogo wamelemewa tokana na demand kuwa kubwa.

Hivo kuzungumzia mambo ya wizara ni responsibilities zaidi. Ninachoweza ona kama suluhu hapa ni kuwa kila ionekanapo kunahitaji ushirikiano wa kitu kama members tunawasiliana na kulifanyia kazi; kama vile ambavo imekua ikitokea members wapatapo misiba na the like.

Sababu umeniruhusu kukuhusisha na nakiri kabisa na jina lako ili nikiona hilo waweza saidia nikuhusishe. Nashukuru kwa Imani yako juu yako. Really humbled. Pamoja saana.
 
AshaDii na Manumbu, na wote mliotajwa. Mlichokifanya ni kitendo cha utu na busara kabisa, guess what! you're the heroes.
Kama kuna mapungufu ni ya kibinadamu na yasituondoe katika utu wetu na ukweli wa jambo hili jema sana.
Tumtakie Msinitenge masomo mema!

Asante sana mkuu... Pamoja saana.
 
msinitenge jitahidi katika masomo, ni PM nkutumie tuhela twa mandazi vitakusukuma siku 2 tatu
naelewa urithi pekee ni elimu nasi tulisoma kwa shida pia.
 
Sangari naomba niwe wazi kuwa sababu sikuwahi ona thread kama hii JF na kwa sababu instict zangu zilinisukuma kuwa ni genuine ndio maana nilifanya hivo. Matapeli wengi sana, kama ikiwa wazi na kuwa entertained kuwa ukiwa na shida ukaitangaza JF utasaidiwa, italeta usumbufu mkubwa na mtiririko wa mabandiko ya shida mbali mbali za members (kumbuka tupo kila aina ya watu hapa... Na matapeli tupo humu humu).

Hivo tambua kuwa hukutengwa, na kiwango kilikuwa ni kiasi ambacho kikichangiwa na watu wachache kingetosha, kulikuwa hakuna haja ya kuhusisha members wote... I hope umenielewa... Pamoja saana.

Pamoja sana Asha Dii nimekuelewa
 
Msinitenge,

Kwa upande wangu shukrani zako zimepokelewa na ni furaha kwangu kuwa azma niliyolenga imefanikiwa. Ilikuwa tu bahati kuwa niliona na kuguswa ingawa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kukusaidia independently (else ingeendelea kubaki anonymous).

Niliamini nikisharikisha members wachache wachangie kila mmoja kiasi kidogo litafanikiwa. Ila pia naomba utambue kuwa waliowezesha hilo zoezi na kutoa pesa ni Maxence Melo (kwa mchango wake wa kuliangalia swala kwa umakini hasa kwa vithibitisho na validity la tatizo lako pamoja na kuruhusu hili hapa JF na kwa mchango wake pia), Mike McKee (ndiye alipokea pesa moja kwa moja na kulipia pamoja na kutuma hiyo balance na kuongeza mchango wake pia).

Fellow members waliochanga moja kwa moja Bishanga, Zion Daughter, Kaunga, Ritz, Ndahani, Mamndenyi, Mentor, Consigliere na Manumbu

Mwenyezi Mungu akuwekee wepesi katika masomo na maisha yako pia. Na akujalie uwe na uwezo na roho huko mbele ya kuweza kusaidia wale ambao watahitaji msaada kwako pia.

Pamoja Saana,

AshaDii.

Wow, i'm loving JF even more.
Hii ni community njema sana,you always feel good when you
help someone.
 
Last edited by a moderator:
muda mwingine mnishirikishe na mimi pia

Najiona kama vile mlinitenga. Mngetuambia na sisi wengine tutoe mchango wetu kwani hizi ni baraka za pekee ambazo tungezipata kutoka kwa Mungu.

Guys,gharama za chuo sio ada peke yake.
Ada ni kama 10% ya mahitaji yote.
Kama kweli umeguswa,na unapenda kumsaidia then tupa mchango wako
na utafikishwa kwake.mahitaji ni mengi mno chuoni,kama kashindwa kupata
nyongeza ya Ada,usidhani ni rahisi sana kutoa copy ya material mbali mbali etc.
I thank God nilipata mkopo 100%.

msinitenge jitahidi katika masomo, ni PM nkutumie tuhela twa mandazi vitakusukuma siku 2 tatu
naelewa urithi pekee ni elimu nasi tulisoma kwa shida pia.

Mkuu,ubarikiwe sana kwa kuona mbali zaidi,hii ni hatua ya kwanza.
Ukitaka kumsaidia mtu usiishie njiani,msaidie na kesho asogee pia.
 
Back
Top Bottom