Natoa onyo kali kwa wale wote wanaomnyemelea mke wangu cacico

sasa ushakuwa na hofu hivyo NITAOGOPA HATA KUTOA DAWA YENYEWE. but huyo si shemeji yangu? so nitacheza kwa step au mletee mlinzi
hapana haja ya mlinzi, kwa kuwa tiba yahitajika! haya zamisha yote kikubwa tiba kha! mkimaliza niDIPU! LOL
 
Nimesema hayo mahaba yako unayonipa kunako 6x6 ndiyo yanayonidatisha na kunifanya niwe na wivu kiasi hichi.
nipunguze hubby! au nizidishe! ilikuwa engine ya vvt-i nataka kubadilisha niweke engine mpya, na speed iongezeke, ila upunguze wivu kha!
 
Kaizer wa nini na wewe gfsonwin? si ulisema dawa hii inafanya kazi vizuri tukiwa wawili tu sasa huoni kuwa ataharibu nguvu ya dawa?

weye sitaki miye manake unaingia tu dawa ikisha kupata unatoka mzuka namalizia kwa Kaizer lol! ukimaliza mzuka waye hakyanani cacico atakuskia kwenye bomba manake utachnga mzinga lolz. chezeye utaalam wa nchali weye
 
Last edited by a moderator:
nipunguze hubby! au nizidishe! ilikuwa engine ya vvt-i nataka kubadilisha niweke engine mpya, na speed iongezeke, ila upunguze wivu kha!

mhmmm!!! kumbe hiyo ni injini ndogo tu inanifanya niwe hoi hivyo...mhmmmm!!! mi naona bora ubadilishe uweke ya lamborghini Gallardo Spyder, uongeze Turbo charger pamoja na Nitrous oxide. Ukifanya hivyo walahi vile lazima nikujengee ghorofa mwaka huu.
 
weye sitaki miye manake unaingia tu dawa ikisha kupata unatoka mzuka namalizia kwa Kaizer lol! ukimaliza mzuka waye hakyanani cacico atakuskia kwenye bomba manake utachnga mzinga lolz. chezeye utaalam wa nchali weye

duh!!! mbona unanitisha gfsonwin sasa nikiondoka baada kunipaka dawa si itafutika? Si unatakiwa kwanza uisugue vizuri ili iingie kwenye ngozi?
 
Last edited by a moderator:
mhmmm!!! kumbe hiyo ni injini ndogo tu inanifanya niwe hoi hivyo...mhmmmm!!! mi naona bora ubadilishe uweke ya lamborghini Gallardo Spyder, uongeze Turbo charger pamoja na Nitrous oxide. Ukifanya hivyo walahi vile lazima nikujengee ghorofa mwaka huu.
mbombo ngafu! kha! sina mume! lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom