@>~~Natoa like ya 5000 (my 5000th like)~~<@

wee uko nje ya mashindano, vigezo na masharti vinazingatiwa.

Unataka kumhonga spray ili anukie??

Usije kuwa umeweka 'substance' wanayotumia 'votex' kubadili akili za watu wa muda ili wafanye watakayo inaitwa 'vovo. . . .' jina gumu sana.

Votex- reffer movie ya 'John English Reborn'

hahahaha! Mpinzani wa jadi vipi jamani? Yaani roulette kucheka tu kwenye post yangu ushaingia uoga. Ngoja nishinde, nitakupa nusu like kama kifuta jasho.
 
mamito Roulette nani zaidi ya Ero anastahili kupata hio like? Nikiwa mwanamke anayejitambua,

nikiwa a hot a sexy lady ambae mimba yake ya mapacha haijampunguza uzuri bali kumuongezea

nuru na sukari ndani ya mwili wake. naongeza viumbe wawili kwa mpigo kwa nguvu ya bwana

na msaada wa mkasi, nina pressure za juu juu kila siku, miguu inanivimba, chakula

shida na karaha kibao! nifurahishe basi kuwa kunipa mimi hio like. come this way mamito. mwaaaaaah!
 
Last edited by a moderator:
Mke mwenza cacico nakuvulia kofia....

Ila usimuite Invisible, macho yake yananihamasisha, na plz Buchanan asisikie maneno haya asije aknitosa, ila hii siri yako mume wetu Asprin asijue kuwa nachukuaga maujuzi huko.....

Hivi umemuona Erickb52 leo nimmemmisije jamani......

Ukimuona Erotica mwambie namsalimia....

mamito mie mzima wa afya. kuja this way.......... mwaaaaah!
 
Hapa ni 'red handed' nimekufurahisha, tena umecheka kwa hiayari ya moyo wako na swaumu yote hii kali?

Na mshindi wa like hii ni Konnie! Hakuna cha auditor kuja hapa labda shemeji yangu kwa King'sti tu.

konnie hujapata like maana hiyo post yako ilikuwa na majasho na vumbi.
 
mmmmh, kaizer naye kapata nguvu za kuingia vitani???

Anatumia mikono au bomba moja?

Tangu ziwa nyasa liwe topik majemedari wamekuwa weengi.

Hee! Kaizer si upo vitani wewe? Umeacha wapi silaha unakuja huku kutafuta like 1 ya Roulette?
 
Last edited by a moderator:
Hi all

Jamani humu JF mwenzenu naona raha kutoa like pale ninapo kutana na post ya kufurahisha. Naweza nisiunge mkono hoja ila kama imepangwa vizuri, au kama inafurahisha lazima natoa like. Sometimes nasindikiz
a na reputation power kabisa.

Kila mtu anaweza kutoa rep power. kufatana na combination ya vitu vingi, rep power unayo toa inaweza kua nzito au nyepesi. Mi nikikupa rep power zinaongezeka 5000 kwa mpigo. Atakae pata like yangu atapata na rep power sababu bila shaka post hiyo itastahili!

Leo nimeona, nimesha gonga likes 4999, na nimeona sio vibaya nianzishe bahati nasibu ya kuona like ya 5000 itaenda kwa nani. Leo nitakua mgumu kidogo na criteria zangu za ku-like post zitakua juu kidogo.

Basi naomba leo wana chit chat wenzangu mniridhishe na ka-post kazuri kazuri, kamependeza pendeza.

:A S 465:Asanteni:A S 465:
Mhnn!unataka posti ya aina gani?yenye kuku impress ama?
 
Ningekuwa bado sijafuturu hii 'like' ingetosha kuliko hata futari tamu.
Ila pia nisingependa ipite mbali basi tafadhali japo nitunuku hii 'like' iwe sehemu ya daku yangu ya leo.
Ramadhan Karim Roulette.
 
Last edited by a moderator:
Roulette sijui hiyo like na rep itaniangukia
Maana nahisi naitamani sana hiyo
Hata hivyo hongera sana kwa kufikisha like 4999 na inaonekana unazitoa sana like ndo maana umeweza kwenda hapo
Wengine wachoyo mpaka kutoa like na ukiona umeipata ujue umependelewa sana
 
Last edited by a moderator:
mmmmh, kaizer naye kapata nguvu za kuingia vitani???

Anatumia mikono au bomba moja?

Tangu ziwa nyasa liwe topik majemedari wamekuwa weengi.
Kongosho umenichekesha bila kutarajia! Ni muda kidogo tangu Kaizer aniage kuwa anaenda vitani kulitetea taifa. Sasa nashangaa naye anakuja kutafuta like 1 kisa ni ya 5000!
 
Last edited by a moderator:
Roulette sijui hiyo like na rep itaniangukia
Maana nahisi naitamani sana hiyo
Hata hivyo hongera sana kwa kufikisha like 4999 na inaonekana unazitoa sana like ndo maana umeweza kwenda hapo
Wengine wachoyo mpaka kutoa like na ukiona umeipata ujue umependelewa sana

Ah, mi najua napendwa hata bila likes. Kuna watu wanatoa kwa kuhesabu utasema wanapungukiwa na kitu. wengine wanatamani kutoa ila wanashindwa sababu ya vyombo wanavyo tumia.
Haya basi, kama unataka hiyo rep power nambie kitu kizuri maybe it's your lucky day...
 
Ningekuwa bado sijafuturu hii 'like' ingetosha kuliko hata futari tamu.
Ila pia nisingependa ipite mbali basi tafadhali japo nitunuku hii 'like' iwe sehemu ya daku yangu ya leo.
Ramadhan Karim Roulette.

Kha, mkuu, umeingia kwa gia ya dini, nusura nikugngee like, wallah! Tukutane kule kwenye Lailatul Qadr, utapata zaidi ya like.
 
mamito Roulette nani zaidi ya Ero anastahili kupata hio like? Nikiwa mwanamke anayejitambua,

nikiwa a hot a sexy lady ambae mimba yake ya mapacha haijampunguza uzuri bali kumuongezea

nuru na sukari ndani ya mwili wake. naongeza viumbe wawili kwa mpigo kwa nguvu ya bwana

na msaada wa mkasi, nina pressure za juu juu kila siku, miguu inanivimba, chakula

shida na karaha kibao! nifurahishe basi kuwa kunipa mimi hio like. come this way mamito. mwaaaaaah!
my dear Chocolate-thunder, we utapata kiss, sio like. Come this way, Mwaaaaaah!
 
mwaJ hata hapa nipo front Roulette kanistua kwa radio call na hapa sijaja kwa ajili ya like. Nimekumiss'
Pole na kazi, huo ndio ukubwa shem. Protect the country, hii nchi tutawaachia watoto wetu, na watoto wa watoto wetu. Bahati wewe unajua how much I like you, hivo you are not in the race. Ila hadi sasa naona Kongosho is leading.
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA mke mwenzangu ye kajiwaia mapemaaaa, hubby Asprin kampeleka Yummy kufanya shaving kwa Boflo! Erickb52 katahiri mtoto wake blonde aliyezaa na Catherine bila Mentor kujua! zomba anaugulia bila mkewe mtarajiwa Mwali maana dr.ulimboka kesho anaonge na waandishi. Kaizer na gfsonwin wapo kwa Kimbweka na Kiranja Mkuu wanafundwa maana wamekutana wote magogo tu! Excellent na Ronn M wao wamekuwa mfano bora na ndio kisa cha Eiyer kuwa bikra mpaka leo, bila kujua Kaunga anaweza kumkimbia anytime na kwenda kushughulikiwa na wanaume marijali kama wakina Superman na gambachovu, mmhhh Smile naye nadhani bikra ishakwanguliwa mudaaaa ndio maana cku hizi anadipu tu humu, chezeiya jf weye??. kamani kumiss mtu ngoja niwe wazi, nammiss sana sweetlady, lol, alinikaribisha vizuri jamvini chini ya Kongosho asali ya ODM!

ila Roulette kuna mtu anaitwa Invisible namuogopa tu, Paw na Buchanan hawanipi homa sana! sijui ni kwann, ila imetokea tu, haya kuna x wangu aitwa Young_Master ODM kambatiza bingwa wa upekuzi, lol nahofia kusutwa hapa! dadangu Zinduna na Chauro nawakosa sana mara kwa mara jamvini jamani muwe mnakuja ebo!

kesi ya CUTE na Ruhazwe JR acha tu maana hata Mike McKee hawezi itatua! nimekupa umbeya leo sana wacha leo nikajifiche kwenye kasri la Bishanga na The secretary naogopa kuishia mabwepande, lol!
Leo utanieleza kwa kina ulijuaje Superman (huyu kamirusha hela yangu) na gambachovu ni MARIJALI? Ntakusemea kwa msiri wako wallah!!
 
Acha fujo cacico . . . . lol. Mkuu Roulette fungia hii mtu ina hatari kuliko Dr. Ulimboka ama sivyo itashtukia iko msitu wa Pande tena hateswi huyu itakuwa ni ajali ya gari iliyoungua na watakuta fuvu tu . . . .

Na aisifuye mvua . . . . .

Hahahahaha............ Kudagadedededeki!! ODM akiunganisha dots kwenye red anakonkludi kama ifuatavyo.................

Imemnyea!!! Hahahahaha Pole samaki!!
 
Back
Top Bottom