Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,579
- 5,374
Hi all
Jamani humu JF mwenzenu naona raha kutoa like pale ninapo kutana na post ya kufurahisha. Naweza nisiunge mkono hoja ila kama imepangwa vizuri, au kama inafurahisha lazima natoa like. Sometimes nasindikiza na reputation power kabisa.
Kila mtu anaweza kutoa rep power. kufatana na combination ya vitu vingi, rep power unayo toa inaweza kua nzito au nyepesi. Mi nikikupa rep power zinaongezeka 5000 kwa mpigo. Atakae pata like yangu atapata na rep power sababu bila shaka post hiyo itastahili!
Leo nimeona, nimesha gonga likes 4999, na nimeona sio vibaya nianzishe bahati nasibu ya kuona like ya 5000 itaenda kwa nani. Leo nitakua mgumu kidogo na criteria zangu za ku-like post zitakua juu kidogo.
Basi naomba leo wana chit chat wenzangu mniridhishe na ka-post kazuri kazuri, kamependeza pendeza.
Just for information, like ya 4000 nimeipokea toka kwa bi Neiwa kule jukwaa la siasa (tarehe 14). Asante mwaya.
:A S 465:Asanteni:A S 465:

Last edited by a moderator: