NATO waanza na deni la Trilioni3 Libya

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Na bado watafaidi mpaka wajisome vizuri! Nchi ilikuwa haina deni kabisa waliomchukia Gaddafi walikuwa wabengazi!
 
Na bado watafaidi mpaka wajisome vizuri! Nchi ilikuwa haina deni kabisa waliomchukia Gaddafi walikuwa wabengazi!

Mkuu, Hebu tufafanulie zaidi maana maelezo yako hayajajitosheleza umekua kama umefanya Comment.
 
utawala
mpya wa waasi utalazimika ku-service
deni linalokadiriwa kufikia dola la
Kimarekani Trilioni 3 kama gharama na
hasara ambazo wanachama wa NATO
wameingia kwa kushiriki katika vita vya
kumuondoa Colonel Gaddafi. Gharama
hizo zinahusisha mabomu, makombora
na bunduki na silaha nyingine
zilizotumika katika vita hivyo, gharama
za ndege zake nane zilizoangushwa na
majeshi ya Gaddafi wakati wa
mapambano, pamoja na askari
waliopoteza maisha katika harakati
hizi.
Deni hili kubwa na ambalo litachukua
muda mrefu sana kulilipa, litaathiri kwa
kiasi kikubwa mapato ya mafuta ghafi
ambayo yatakuwa yanasafirishwa na
Libya kwenda nchi za nje. Mpango huu
uliojadiliwa kwa mara ya kwanza miezi
kadhaa iliyopita na uliripotiwa
kupingwa na kiongozi wa waasi wa
wakati huo aliyekuwa akifahamika
kama Yunus na kutokana na msimamo
wake huo aliuawa siku moja baada ya
kueleza msimamo wake huo kwa
viongozi wa NATO. Gharama kama hizi
ziliwahirushwa kwa uongozi mpya wa Iraq
baada ya utawala wa Saddam Hussein
kuanguka na zitaiweka Libya na
wananchi wake waktika wakati mgumu
kwani italazimika kusalimisha pato lake
lote la taifa kwa ajili ya kukidhi
matakwa ya watu hawa ambao wakati
wote wamekuwa wakionekana na
'wakombozi' wa wananchi wa Libya
waliosemekana kuwa katika
ukandamizaji wa utawala wa kiimla na
wakishetani wa Gaddafi. Baada ya
kusherehekea ukombozi huo, sasa
watalazimika kujifunga mikanda ili
kuwaridhisha 'waliowakomboa'!
Swali linalojitokeza ni kwamba, je,
wananchi wa Libya waliridhia mpango
huu ambao sasa unawagharimu? Je,
kwa nini NATO wameonyesha kama vile
walikuwa na nia njema kumbe lengo
lao lilikuwa ni tofauti? Je, hii inaweza
kuwa ndiyo sababu ya wao kuatoingilia
migogoro ya nchi ambazo hazina
rasilimali za kutosha ambazo wanaweza
kuzitumia kulipia gharama zao kama
Somalia, Madagascar na kwingineko?
 
hivi hao NATO walitumwa na nani si ni kiherehere chao. walibya wakilipa hilo deni wote watakuwa ni mashoga. kama taneco kuwalipa dowans
 
WIZI MTUPU! Nilisikia hii katika mahojiano kati ya CNN na Balozi wa Libya US, ambapo mtangazaji alidai kwamba gharama za US katika uvamizi ule ni $2billioni hivyo US wangependa warudishiwe pesa zao hasa ukitilia maanani uchumi wa nchi ulivyoanguka. Kwa maoni yangu participation ya US ndio ilikuwa ndogo sana ukilinganisha na nchi nyingine UK, France, Italy etc kwa maoni yangu gharama hazifiki hata trillioni moja. Wameweka vibaraka vyao madarakani ambao watakubali lolote lile litakalosemwa na nchi za magharibi. Inasikitisha sana.
 
Waliyataka wenyeeewe! Natena bora ili nasisi tupande juu kwenye rank ya umaskini!
 
utawala
mpya wa waasi utalazimika ku-service
deni linalokadiriwa kufikia dola la
kimarekani trilioni 3 kama gharama na
hasara ambazo wanachama wa nato
wameingia kwa kushiriki katika vita vya
kumuondoa colonel gaddafi. Gharama
hizo zinahusisha mabomu, makombora
na bunduki na silaha nyingine
zilizotumika katika vita hivyo, gharama
za ndege zake nane zilizoangushwa na
majeshi ya gaddafi wakati wa
mapambano, pamoja na askari
waliopoteza maisha katika harakati
hizi.
Deni hili kubwa na ambalo litachukua
muda mrefu sana kulilipa, litaathiri kwa
kiasi kikubwa mapato ya mafuta ghafi
ambayo yatakuwa yanasafirishwa na
libya kwenda nchi za nje. Mpango huu
uliojadiliwa kwa mara ya kwanza miezi
kadhaa iliyopita na uliripotiwa
kupingwa na kiongozi wa waasi wa
wakati huo aliyekuwa akifahamika
kama yunus na kutokana na msimamo
wake huo aliuawa siku moja baada ya
kueleza msimamo wake huo kwa
viongozi wa nato. Gharama kama hizi
ziliwahirushwa kwa uongozi mpya wa iraq
baada ya utawala wa saddam hussein
kuanguka na zitaiweka libya na
wananchi wake waktika wakati mgumu
kwani italazimika kusalimisha pato lake
lote la taifa kwa ajili ya kukidhi
matakwa ya watu hawa ambao wakati
wote wamekuwa wakionekana na
'wakombozi' wa wananchi wa libya
waliosemekana kuwa katika
ukandamizaji wa utawala wa kiimla na
wakishetani wa gaddafi. Baada ya
kusherehekea ukombozi huo, sasa
watalazimika kujifunga mikanda ili
kuwaridhisha 'waliowakomboa'!
Swali linalojitokeza ni kwamba, je,
wananchi wa libya waliridhia mpango
huu ambao sasa unawagharimu? Je,
kwa nini nato wameonyesha kama vile
walikuwa na nia njema kumbe lengo
lao lilikuwa ni tofauti? Je, hii inaweza
kuwa ndiyo sababu ya wao kuatoingilia
migogoro ya nchi ambazo hazina
rasilimali za kutosha ambazo wanaweza
kuzitumia kulipia gharama zao kama
somalia, madagascar na kwingineko?
walbya sasa karibuni kwenye ulimwengu wa makwelini
 
wizi mtupu! Nilisikia hii katika mahojiano kati ya cnn na balozi wa libya us, ambapo mtangazaji alidai kwamba gharama za us katika uvamizi ule ni $2billioni hivyo us wangependa warudishiwe pesa zao hasa ukitilia maanani uchumi wa nchi ulivyoanguka. Kwa maoni yangu participation ya us ndio ilikuwa ndogo sana ukilinganisha na nchi nyingine uk, france, italy etc kwa maoni yangu gharama hazifiki hata trillioni moja. Wameweka vibaraka vyao madarakani ambao watakubali lolote lile litakalosemwa na nchi za magharibi. Inasikitisha sana.
hivi itakuwa hata wa iraq na wa afghanistani wanalipa kalizai anapeza za bangi nadhani
 
Kuanguka kwa uchumi ktk mataifa makubwa imekuwa ni balaa kwa nchi za kiarabu ambao walikuwa wako vizuri kiuchumi kwa utajiri wa mafuta duniani. Cyo nchi za afrika pekee bali ukanda wote wa kiarabu. Inauma sana! Viongozi wao walikuwa wanajua hayo lakini wananchi wao walikuwa hawajaona hilo, wachache kwa ushawishi wao wamewaponza wenzao kwa maslahi yao. Swali: cc kama watanzania leo tufanyaje kuepuka yaliyowakuta wenzetu? Kwa mwenye maono ya mbali atakuwa kashaona mwelekeo wetu! Maana nchi inavyouzwa kuanzia ardhi hadi migodi ni balaa!!!!
 
Hamna kitu hapo muanzisha thread naona umeanzisha kwa lengo la kuziponda nchi za magharibi na umeonesha umebase upande mmoja tu. Inaelekea c mzoefu wa mambo hayo so unapojaribu kuanzisha thread na unataka comment za watu heshimu mawazo ya kila mtu na usibase upende mmoja na usitoe lugha mbaya kwa yeyote anaepingana na wew. Hatukuzoea haya dats y wanaita home ov great thinkers.
 
Hamna kitu hapo muanzisha thread naona umeanzisha kwa lengo la kuziponda nchi za magharibi na umeonesha umebase upande mmoja tu. Inaelekea c mzoefu wa mambo hayo so unapojaribu kuanzisha thread na unataka comment za watu heshimu mawazo ya kila mtu na usibase upende mmoja na usitoe lugha mbaya kwa yeyote anaepingana na wew. Hatukuzoea haya dats y wanaita home ov great thinkers.

Asante mkuu!
 
watamkumbuka sana Gaddafi....NATO walijua wanachofanya na kitawatokea puani WaLibya.......vita ndo imeanza sasa kati ya waasi na NATO
utawala
mpya wa waasi utalazimika ku-service
deni linalokadiriwa kufikia dola la
Kimarekani Trilioni 3 kama gharama na
hasara ambazo wanachama wa NATO
wameingia kwa kushiriki katika vita vya
kumuondoa Colonel Gaddafi. Gharama
hizo zinahusisha mabomu, makombora
na bunduki na silaha nyingine
zilizotumika katika vita hivyo, gharama
za ndege zake nane zilizoangushwa na
majeshi ya Gaddafi wakati wa
mapambano, pamoja na askari
waliopoteza maisha katika harakati
hizi.
Deni hili kubwa na ambalo litachukua
muda mrefu sana kulilipa, litaathiri kwa
kiasi kikubwa mapato ya mafuta ghafi
ambayo yatakuwa yanasafirishwa na
Libya kwenda nchi za nje. Mpango huu
uliojadiliwa kwa mara ya kwanza miezi
kadhaa iliyopita na uliripotiwa
kupingwa na kiongozi wa waasi wa
wakati huo aliyekuwa akifahamika
kama Yunus na kutokana na msimamo
wake huo aliuawa siku moja baada ya
kueleza msimamo wake huo kwa
viongozi wa NATO. Gharama kama hizi
ziliwahirushwa kwa uongozi mpya wa Iraq
baada ya utawala wa Saddam Hussein
kuanguka na zitaiweka Libya na
wananchi wake waktika wakati mgumu
kwani italazimika kusalimisha pato lake
lote la taifa kwa ajili ya kukidhi
matakwa ya watu hawa ambao wakati
wote wamekuwa wakionekana na
'wakombozi' wa wananchi wa Libya
waliosemekana kuwa katika
ukandamizaji wa utawala wa kiimla na
wakishetani wa Gaddafi. Baada ya
kusherehekea ukombozi huo, sasa
watalazimika kujifunga mikanda ili
kuwaridhisha 'waliowakomboa'!
Swali linalojitokeza ni kwamba, je,
wananchi wa Libya waliridhia mpango
huu ambao sasa unawagharimu? Je,
kwa nini NATO wameonyesha kama vile
walikuwa na nia njema kumbe lengo
lao lilikuwa ni tofauti? Je, hii inaweza
kuwa ndiyo sababu ya wao kuatoingilia
migogoro ya nchi ambazo hazina
rasilimali za kutosha ambazo wanaweza
kuzitumia kulipia gharama zao kama
Somalia, Madagascar na kwingineko?
 
Mpango huu uliojadiliwa kwa mara ya kwanza miezi kadhaa iliyopita na uliripotiwa kupingwa na kiongozi wa waasi wa wakati huo aliyekuwa akifahamika kama Yunus na kutokana na msimamo wake huo aliuawa siku moja baada ya kueleza msimamo wake huo kwa viongozi wa NATO.

Aisee...
Kumbe sio siri tena kuwa NATO walimplant muuwaji wa Yunus!!
Ngoja nikaogelee kwanza..
 
WIZI MTUPU! Nilisikia hii katika mahojiano kati ya CNN na Balozi wa Libya US, ambapo mtangazaji alidai kwamba gharama za US katika uvamizi ule ni $2billioni hivyo US wangependa warudishiwe pesa zao hasa ukitilia maanani uchumi wa nchi ulivyoanguka. Kwa maoni yangu participation ya US ndio ilikuwa ndogo sana ukilinganisha na nchi nyingine UK, France, Italy etc kwa maoni yangu gharama hazifiki hata trillioni moja. Wameweka vibaraka vyao madarakani ambao watakubali lolote lile litakalosemwa na nchi za magharibi. Inasikitisha sana.

Mkuu hiyo trilioni 3 nni Tshs, $3tn ni waandishi wa kibongo wanavyoonyesha uwezo wao mdogo wa kufikiri na kuandika tu bila fact checking, Marekani ndiyo imetoa hela nyingi kuliko nchi zote almost 70 % ambayo ni $2bn. Waandishi wa kibongo nadhani wengi hawajui kwamba there are very few countries in the world that are trillion dollar economies.
 
Back
Top Bottom