Natishiwa maisha

Yupo rafiki yangu mmoja aliwahi kung'ang'aniwa na mdada baada ya kumtia mimba na hatimaye kupata mtoto wa kike! Ung'ang'anizi huo ulifanya kazi na mpaka sasa wako naye tangu mwaka 2001! Ukishikwa shikamana ndugu! Nani anayependa kuharibiwa maisha? Tena wakati ni mjamzito ile njemba ilikuwa inadai wakaitoe mimba! Haya mambo acheni tu jamani, wanaume wenzangu muwe na huruma!
 
We all do mistakes most of the time. Wakati mwingine hujui kipi ni bora. The lust of flesh controls our ego. The ecstacy derived from the flesh is the trap. But for now nahitaji kuwa mwema. Ndio maana nimekuja kwenu kuwasikiliza
 
Haya sasa kuwa mwema,kwa kuheshimu na kujenga ulichokianzisha,kumuenzi na kumfariji mwenzi wako kwa kuwa ana mapenzi ya kweli juu yako.Sio wema wa kuacha na kuanzisha kingine halafu baadae utatoka na kuleta sababu ulizosema hapo juu na utatuambia unataka kuwa mwema
 
We all do mistakes most of the time. Wakati mwingine hujui kipi ni bora. The lust of flesh controls our ego. The ecstacy derived from the flesh is the trap. But for now nahitaji kuwa mwema. Ndio maana nimekuja kwenu kuwasikiliza

Staili uliyokuja nayo siyo.Unaonekana unafurahisha jamvi.Waswahili husema mpende akupendae,Sasa kwani huyo binti anatatizo gani mpaka useme sio right candidate? weka wazi tatizo ili ushauriwe.Na huyo unayetaka awe right candidate unataka aweje?Kama kweli una nia ya kutulia basi tulia.Usiwe na presha yoyote katika hili,vinginevyo utakuwa mtu wa kutest tu na sio muoaji.
 
Nafikiri huna haja ya kupretend. mwambie ukweli kwamba huwezi kuwa nae kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika. Ni kawaida sana kuanzisha mahusiano yakafa hutakuwa wa kwanza. Ila ukweli ni mzuri sana na hufanya usifeel gilt unapokumbuka au unapokuwa na mtu mwingine.

USimwache kwa maneno ya kashfa wala kutukana. Mwambie ukweli kutoka moyoni mwako. Kwa sababu hataki kusikia na anataka kujiua nafikir mwache na hayo maamuzi yake ya kishetani. baadae itawasumbua kama mtakuwa kama mke na mme wakati humpendi. Komaa na huo ukweli wako tu aelewe. Msomeshe taratibu punguza kukutana nae hata sms.

Wanawake tuwe welevu sana kwenye masuala ya mapenzi. wote mlioko humu ndani, mtu akisema siwezi kujenga maisha na wewe basi elewa hivyo siyo ufanye ung'ang'anizi utakaokusumbua baadae. Someni alama za nyakati kwa wapenzi wenu mambo yataenda sawa tu. Mwaka 2010 wanawake tuwe na wabunifu kama sehemu haifai usilalame sana toka nenda sehemu tofauti na ile. tuwe na choice za kueleweka.

Marry Christmas and Prosperous New Year 2009.
 
Staili uliyokuja nayo siyo.Unaonekana unafurahisha jamvi.Waswahili husema mpende akupendae,Sasa kwani huyo binti anatatizo gani mpaka useme sio right candidate? weka wazi tatizo ili ushauriwe.Na huyo unayetaka awe right candidate unataka aweje?Kama kweli una nia ya kutulia basi tulia.Usiwe na presha yoyote katika hili,vinginevyo utakuwa mtu wa kutest tu na sio muoaji.
siku hizi umekuwa MKALI/na HASIRA KWELI!....vip?
 
Wanawake tuwe welevu sana kwenye masuala ya mapenzi. wote mlioko humu ndani, mtu akisema siwezi kujenga maisha na wewe basi elewa hivyo siyo ufanye ung'ang'anizi utakaokusumbua baadae. Someni alama za nyakati kwa wapenzi wenu mambo yataenda sawa tu. Mwaka 2010 wanawake tuwe na wabunifu kama sehemu haifai usilalame sana toka nenda sehemu tofauti na ile. tuwe na choice za kueleweka.

Marry Christmas and Prosperous New Year 2009.
Duh!
 
Miezi minne siyo muda wa kutosha kuelewana vizuri hadi kufikia maamuzi ya lifetime. Kwa mtazamo wangu ni kuwa huyo mpenzi wako yuko obssesed na wewe [siyo mapenzi] mara nyingi aina hiyo ya obssesion hupelekea mtu kuwa suicidial. Kwa tabia huwa na wivu uliopindukia na inabidi uwe mvumilivu sana kama kweli unampenda. Kama unaona ni vigumu kujenga naye mahusiano ya muda mrefu ina bidi maamuzi uyafanye sasa na hata hivyo withdrawal iwe polepole upunguze frequency ya kuonana kwa visingizio vya kazi nk usimwache solemba ghafla vinginevyo utakuwa na lifetime guilty conscious kwa chochote kibaya atakachokifanya.
 
Mi ndio sijakuelewa kabisa,unatishiwa maisha wewe au anatishia maisha yake,hujatueleza unamahusiano gani naye,na hatujui unamchukuliaje,je,kama kahaba au?na kama unahitaji mtu wa kuoa kwanini utafute mwingine wakati huyo tayari ameshaonyesha upendo wa hali ya juu,au ulitaka kutuhadithia tuu kuwa kunademu anakupenda?Acha na ukome tabia yako ya kishamba,kwani huyo binti alikutongoza?Acheni tabia zenu za kujinadi nyinyi wauza sura!!
 
nafikiri huna haja ya kupretend. Mwambie ukweli kwamba huwezi kuwa nae kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika. Ni kawaida sana kuanzisha mahusiano yakafa hutakuwa wa kwanza. Ila ukweli ni mzuri sana na hufanya usifeel gilt unapokumbuka au unapokuwa na mtu mwingine.

Usimwache kwa maneno ya kashfa wala kutukana. Mwambie ukweli kutoka moyoni mwako. Kwa sababu hataki kusikia na anataka kujiua nafikir mwache na hayo maamuzi yake ya kishetani. Baadae itawasumbua kama mtakuwa kama mke na mme wakati humpendi. Komaa na huo ukweli wako tu aelewe. Msomeshe taratibu punguza kukutana nae hata sms.

Wanawake tuwe welevu sana kwenye masuala ya mapenzi. Wote mlioko humu ndani, mtu akisema siwezi kujenga maisha na wewe basi elewa hivyo siyo ufanye ung'ang'anizi utakaokusumbua baadae. Someni alama za nyakati kwa wapenzi wenu mambo yataenda sawa tu. Mwaka 2010 wanawake tuwe na wabunifu kama sehemu haifai usilalame sana toka nenda sehemu tofauti na ile. Tuwe na choice za kueleweka.

Marry christmas and prosperous new year 2009.

umeniumiza sana kwa point zako, yaani vile zinavyoweza kugusa mtu kama vile maandiko matakatifu
 
Muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia kujiua ninapotaka kumwacha. Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia

kwanini unatafuta mwingine usimuoe huyu dada?
 
Muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia kujiua ninapotaka kumwacha. Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia

kwani wewe una mwingine? je uko tayari kwa kiasi gani kuhusu hilo? iwapo huna mwingine, na uko tayari na unampenda basi umwitikie wito wake. lakini kama ulimtamani na hukumpenda, basi mtake radhi na umweleze ukweli
 
Muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia kujiua ninapotaka kumwacha. Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia

Rafiki nakushauri ubakie nae huyo huyo! Kwa sababu utakaye mpata atakuwa tu na mapungufu yake. cha muhimu kama kuna weakness kwake mkae umueleze ajirekebishe!
 
Wadau mna michango adimu. Nashukuru sana. Namshukuru pia dianz kwa maelezo ya kina. Abunuwas kwa ufafanuzi wake. Konakali: huo ukweli ndio hataki kuusikia. Huyu binti alipata kazi mwanza akagoma kwenda kisa atanipoteza! Nahofia hata nikiwa nae maishani ataweza fanya jambo la hatari. Nachohitaji ni mbinu sahihi ya kutengana bila maafa. Sipendi kubanwa kiasi hicho katika mapenzi. Natishiwa maisha kwa maana kwamba kauli zake si za amani, pia akijiua nitakuwa lawamani. Mnielewe kwa wema tu
 
Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia
Hivi Mziwanda last time hukumpata mwandani? Nilionaga thread yako ya kutafuta mwenzi hapa
 
Huyu binti alipata kazi mwanza akagoma kwenda kisa atanipoteza! Nahofia hata nikiwa nae maishani ataweza fanya jambo la hatari. Nachohitaji ni mbinu sahihi ya kutengana bila maafa. Sipendi kubanwa kiasi hicho katika mapenzi. Natishiwa maisha kwa maana kwamba kauli zake si za amani, pia akijiua nitakuwa lawamani. Mnielewe kwa wema tu
Mziwanda aumtendei haki huyu binti, kaa chini tafakari kwa kina kabla ya kuamua kumuacha
 
Ladda jaribu kumbadilikia, mpe bad sex ,halafu jaribu kuto oga na kuto piga mswaki kila unapo kutana naye ,alafu uwe lazy kitandani na pia act uko supper broke , muombe hela sana na uonyeshe hujishughulishi na ume kua mlevi, kila unapo kutana naye uwe una act umelewa na una smell bad , kama vile hujipendi , tuone kama ita work .
Dogo ulishawahi kuwa mganga wa Kienyeji??
 
Muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia kujiua ninapotaka kumwacha. Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia
Unatishiwaje maisha??
 
Mziwanda we si mtu mzuri bana..Unaanzisha mahusiano na mtu, then unataka kumfrustrate baada ya kumchoka..Kwanini umuache?...Mbona ushamvuruga na kumfunuafunua, sasa unataka kumshiti upate mtu mpya..Ni tabia mbaya sana hiyo. I dont entertain it at all!...Who knows unataka umwache ili ukamvuruge mwingineo?..Ningekuwa na namba ya mdada huyo namwambia akomae mbaya kabisa, na asikusikie wala kukuelewa..huh!...
Kaka no comment on this umemaliza kabisa, ni ushauri mzuri sana huu
 
Mi ndio sijakuelewa kabisa,unatishiwa maisha wewe au anatishia maisha yake? Acha na ukome tabia yako ya kishamba,kwani huyo binti alikutongoza?Acheni tabia zenu za kujinadi nyinyi wauza sura!!
Ushauri mwingine mtamu/mchungu hivi. But its good and precious one. Take this positively my friend Mziwanda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom