Natishiwa kuuawa

Actually, I c nothn to worry about bro. Those are mere frogs voice in pond...u must look for him 1st, face the fear, it will disapear.. Na ckuzote ni rahs kumfaham adui unaepambana nae coz utajua kila hatua anayotaka kusonga. Wish u success in dat.
 
Wadau naomba mawazo yenu.
Kuna binti tuko nae chuoni,ila nilifahamia nae zaidi baada ya kuattend conference pamoja hivi karibuni.
Tukabadilishana namba na tumekuwa tukichat tu mara kwa mara.saa zingine tunaflirt na yeye ndio mwanzilishi.na saa zingine namtupia jokes nnazozitoa humu ndani basi tunaenda.
Chaajabu leo niko klas nkaona simu zange nyingi zinaingia,nkawa sipokei koz pindi linasonga.
So ndio akatuma msg kuwa jamaa yake amekuja chuo na kaona msg zangu so ana hasira na kumruhumu kuwa na uhusiano namm. Sikujibu msg yenyewe.kisha akatuma nyingine kuwa nisimtafute tena wala kumusms.sijajibu tena.nlikuwa shocked na nlifadhaishwa sana nkawa nshaamua sitamtafuta tena yani nampotezea.akawa anapiga sipokei..akatuma sms ati nipokee niolngee na jamaa nimhakikishie kuwa sina uhusiano naye.nakapotezea tena.
Cha ajabu usiku huu kantumia msg kuwa ni bora ningepokea tuu simu koz jamaa wake ni mtu mkubwa sana mjini hapa amechkua namba yangu na atanitafuta na atanipata,na tena amedai atanifanyia kitu mbaya sijawahi kuona.
Sa hapa ndo nawaza na kuwazua nafkiria nimjibu nini au nifanyeje..
Naomba ushauri wenu wadau..ni hayo tu.

"Tunaflirt"

Wewe ni yule uliandika thread kuhusu wanawake kukesha na waume za watu katika pm.

Timu ilele bt umebadil uwanja leo.
 
Tatizo msg yenyewe ukiisoma unahisi ka umebakiza saa kadhaa b4 hujafa..

Acha uoga wewe mikwara mbuzi isikutishe,na siku zote muuaji huwa hatangazi anafanya mambo yake kimya kimya,kaa kwa amani kijana.
 
"Tunaflirt"

Wewe ni yule uliandika thread kuhusu wanawake kukesha na waume za watu katika pm.

Timu ilele bt umebadil uwanja leo.

Mmh hata siijui hiyo sredi unayosema,this thing herein is real!
 
hifadhi hizo message ili akikuua tu, tupate ushahidi, huna haja ya kwenda polisi kwamaana hata habari ya kutishiwa kuuawa Mwakembe polisi waliipotezea.

RIP: natanguliza hii in advance, inawezekana siku hiyo nikawa kijijini kwetu na huko hakuna hata mtandao wa simu.
 
hifadhi hizo message ili akikuua tu, tupate ushahidi, huna haja ya kwenda polisi kwamaana hata habari ya kutishiwa kuuawa Mwakembe polisi waliipotezea.

RIP: natanguliza hii in advance, inawezekana siku hiyo nikawa kijijini kwetu na huko hakuna hata mtandao wa simu.

Heheh hauwezi kuwa hautanii..iyo RIP siitaki
 
Lipigie simu then liweke wazi uone kama litaendelea kukutisha.Unavyorukaruka ndo unavyoliudhi kwa sababu halijui uhalisia wa jambo.
 
Ha ha ha ha ha ah..........Aaaagh i love Jf kwa kwelii. Dogo hapo chuo ni msuli kwa kwenda mbele ndo utakutoa......those old days of mine chuo ni kuheshimu hao wadada kiukweli au ku-do kweli kama kinaeleweka......ukipewa za uso unageukia buku unamalizia hapo kila hasira zako.

Ukitaka shida keep flirting na wadada wa chuo....yaani most of them hawajui walitakalo sasa na wewe ukicheza tune zao ndo hayo ya kugombana na kuwa na pressure zisizo na mpango out of flirting pleasure. I wish na demu wako ajue kuwa una undefined relationship na demu mwingine upigwe suspension pia ndo utajifunza kwa makosa yako in a hard way.

Kwa usalama (Hypothetical) GET RB uendelee kusoma hapo..... statutes will get u busy soon
 
Muone vile.We ulivyokua unalia jana ulikua "a little girl" ????

Nawe naye. unapenda kweli kudandia..
Halafu nimepata ile kitu nyekundu na ile tamu.
nataka kusema sante lakini si semi sababu umeniudhi..
 
Kiukweli saivi nimejifkiria nimehisi km kamchezo flani.. Nami sjui niendelee kumtumia msg demu ili nizidi kumkasirisha na kumtia wivu!
Ila ka‘ ni kweli yuko sirias na ana uwezo huo basi ndo kweli ntakua wa leo wa kesho..
 
Kiukweli saivi nimejifkiria nimehisi km kamchezo flani.. Nami sjui niendelee kumtumia msg demu ili nizidi kumkasirisha na kumtia wivu!
Ila ka‘ ni kweli yuko sirias na ana uwezo huo basi ndo kweli ntakua wa leo wa kesho..

Mkwala kidogo unatetemeka mkuu? Waogopa hata kelele za vuvuzela?
 
Kosa kubwa ulilofanya ni kutokupokea simu na kuongea na huyo jamaa. Ungejinyakulia pointi tatu muhimu kwa demu na saa hizi ungekua kwenye nafasi nzuri ya kupiga. Jamaa mwenyewe anaonekana hana komfidence na huyo dem nae anamchuna tu. My advice: usimkatie dem mawasiliano. Atakuona muoga muoga halafu jamaa atahisi kweli kulikua na kitu. Pili jitahidi upige ndani ya wiki hii! Then utahamua kuendelea nae au kuacha. Acha kuendekeza stori nyingi badala ya kufanya kilichokupeleka. Ila uki restishwa in peace sisi hatumo.
 
Polisi wapo kwa ajili ya Ulinzi na Usalama wa Raia na Mali zao,nafikiri kwenda kutoa taarifa ni USHAURI wa MUHIMU kuliko yote!Unajua hapa utapata ushauri kutoka kwa jamii tofauti "uchuje" lkn wakati utakapo pata MATATIZO utakuwa peke yako na hakuna sehemu utakayo kimbilia zaidi ya KITUO CHA POLISI.Kwa ufahamu wangu hivi sasa Polisi wamejipanga vema katika MAKOSA YA KIMTANDAO yaani CYBER CRIMES,vipo vitengo MAALUM chini ya Idara ya Upelelezi vinavyo shughulikia makosa hayo karibu kila MKOA&WILAYA hapa nchini,wakiongozwa na wataalamu walio bobea wapo pale MAKAO MAKUU YA POLISI-DSM!Nenda kapate msaada na huyo anaye kutishia utamjua/mtajuana KISHERIA!!Maelezo na Elimu hii nimeipata Viwanja vya Mwl.Nyerere "Sabasaba" kwenye banda la Polisi,nenda kapate shule hiyo unaweza kupata na msaada pale pale!!:poa
 
Polisi wapo kwa ajili ya Ulinzi na Usalama wa Raia na Mali zao,nafikiri kwenda kutoa taarifa ni USHAURI wa MUHIMU kuliko yote!Unajua hapa utapata ushauri kutoka kwa jamii tofauti "uchuje" lkn wakati utakapo pata MATATIZO utakuwa peke yako na hakuna sehemu utakayo kimbilia zaidi ya KITUO CHA POLISI.Kwa ufahamu wangu hivi sasa Polisi wamejipanga vema katika MAKOSA YA KIMTANDAO yaani CYBER CRIMES,vipo vitengo MAALUM chini ya Idara ya Upelelezi vinavyo shughulikia makosa hayo karibu kila MKOA&WILAYA hapa nchini,wakiongozwa na wataalamu walio bobea wapo pale MAKAO MAKUU YA POLISI-DSM!Nenda kapate msaada na huyo anaye kutishia utamjua/mtajuana KISHERIA!!Maelezo na Elimu hii nimeipata Viwanja vya Mwl.Nyerere "Sabasaba" kwenye banda la Polisi,nenda kapate shule hiyo unaweza kupata na msaada pale pale!!
 
Ukute dada na boyfriend wake wanamsoma hapa wanachekaaaa alafu wanamtumia message ingine, anapanick, anazileta hapa wanacheka tena and so on.
Just stop thinking about them. Inaonekana wazi kua huyo dada is not worth killing for.

daah umenikumbusha mbali sana..........tulishawahi kumrushia mtu prank email tukampeleka mpaka airport kumpokea GF................hahahahah aisee!
 
Back
Top Bottom