Natishiwa kuuawa

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Wadau naomba mawazo yenu.
Kuna binti tuko nae chuoni,ila nilifahamia nae zaidi baada ya kuattend conference pamoja hivi karibuni.
Tukabadilishana namba na tumekuwa tukichat tu mara kwa mara.saa zingine tunaflirt na yeye ndio mwanzilishi.na saa zingine namtupia jokes nnazozitoa humu ndani basi tunaenda.
Chaajabu leo niko klas nkaona simu zange nyingi zinaingia,nkawa sipokei koz pindi linasonga.
So ndio akatuma msg kuwa jamaa yake amekuja chuo na kaona msg zangu so ana hasira na kumruhumu kuwa na uhusiano namm. Sikujibu msg yenyewe.kisha akatuma nyingine kuwa nisimtafute tena wala kumusms.sijajibu tena.nlikuwa shocked na nlifadhaishwa sana nkawa nshaamua sitamtafuta tena yani nampotezea.akawa anapiga sipokei..akatuma sms ati nipokee niolngee na jamaa nimhakikishie kuwa sina uhusiano naye.nakapotezea tena.
Cha ajabu usiku huu kantumia msg kuwa ni bora ningepokea tuu simu koz jamaa wake ni mtu mkubwa sana mjini hapa amechkua namba yangu na atanitafuta na atanipata,na tena amedai atanifanyia kitu mbaya sijawahi kuona.
Sa hapa ndo nawaza na kuwazua nafkiria nimjibu nini au nifanyeje..
Naomba ushauri wenu wadau..ni hayo tu.
 
Endelea kupotezea mkuu, ya kawaida sana hayo, kama huyo dada alikubali uwe unachati naye mapaka mnavuka mipaka ya kutaniana as afriend alitegemea nini? Imekuala kwake, we piga shule
 
Tatizo msg yenyewe ukiisoma unahisi ka umebakiza saa kadhaa b4 hujafa..
 
wasichana wengine wehu...lol

Saivi katumia simu nyingine nimepokea akaanza kunshambulia kwa maneno..nimemwuliza,hivi una akili kweli?Ndo nikaamsha msafara wa matusi nsiyoweza kuyaandika humu,hadi simu ikaisha vocha na kukatika..
 
Jina lako na mambo yako yanashabihiana endelea tu kujifunza ndo malovee hayo mkuu angalia wasijekukukameruni..:confused3:
 
Linashabihiana kivipi?Kuhusu kunikameruni nadhani inabidi nchongeshe boxer ya chuma na kufuli,mpk wanifunue gri labda waje na mashine!
 
Tatizo msg yenyewe ukiisoma unahisi ka umebakiza saa kadhaa b4 hujafa..

Huyo kaka nae mjinga tu, kwanini asimdhibiti mpenzi wake, si ajabu hata kupendwa halipendwi ila linalazimisha tu!! Kama una wasiwasi sana mkuu, nenda na wenzako kituoni ukatoe maelezo yako, then piga shule kama kawa mengine huwa ni mkwala tu!!!
 
Kwa ninavyowajuapolisi wetu, ukienda huko ni kama umewapelekea mlo, wengine wataanzisha urafiki na wewe, watakuomba "kitu kidogo". Mwisho wa habari hawana watalofanya. Ukija kufa itakusaidia nini polisi?
Badilisha nambari ya simu, wasikufate si huyo binti wala huyo jamaa "tishatoto"!
 
Kwa jinsi ulivyoandika hapa, inaelekea huyo 'mtu mkubwa serikalini' akikuona tu atakuonea huruma. Usiwajali,soma baba kijiji kinakutegemea urudi ukagombee ubungo. Bahari imechafuka hiyo dogo, utavamia papa nyangumi,tena wale wa hatari
 
Ukute dada na boyfriend wake wanamsoma hapa wanachekaaaa alafu wanamtumia message ingine, anapanick, anazileta hapa wanacheka tena and so on.
Just stop thinking about them. Inaonekana wazi kua huyo dada is not worth killing for.
 
huyo dada alikua anakupima kuwa unampenda au? Akagundua kuwa we unamchukulia km dada tu ndo akamaind na kuamua kukupiga mkwara, USHAURI WANGU NENDA NA HY MESEJ POLISI UCHUKUE RB THEN RUDI SHULENI ENDELEA NA MASOMO
 
Wadau naomba mawazo yenu.
Kuna binti tuko nae chuoni,ila nilifahamia nae zaidi baada ya kuattend conference pamoja hivi karibuni.
Tukabadilishana namba na tumekuwa tukichat tu mara kwa mara.saa zingine tunaflirt na yeye ndio mwanzilishi.na saa zingine namtupia jokes nnazozitoa humu ndani basi tunaenda.
Chaajabu leo niko klas nkaona simu zange nyingi zinaingia,nkawa sipokei koz pindi linasonga.
So ndio akatuma msg kuwa jamaa yake amekuja chuo na kaona msg zangu so ana hasira na kumruhumu kuwa na uhusiano namm. Sikujibu msg yenyewe.kisha akatuma nyingine kuwa nisimtafute tena wala kumusms.sijajibu tena.nlikuwa shocked na nlifadhaishwa sana nkawa nshaamua sitamtafuta tena yani nampotezea.akawa anapiga sipokei..akatuma sms ati nipokee niolngee na jamaa nimhakikishie kuwa sina uhusiano naye.nakapotezea tena.
Cha ajabu usiku huu kantumia msg kuwa ni bora ningepokea tuu simu koz jamaa wake ni mtu mkubwa sana mjini hapa amechkua namba yangu na atanitafuta na atanipata,na tena amedai atanifanyia kitu mbaya sijawahi kuona.
Sa hapa ndo nawaza na kuwazua nafkiria nimjibu nini au nifanyeje..
Naomba ushauri wenu wadau..ni hayo tu.

Potezea hao vichaa wawili (huyo jamaa anayejifanya mkubwa, wengi hao huwa wanakua na wake zao) na huyo binti kwani ni kicheche (kwanini ahangaike na wewe)

Ila waambie japo watu wawili wa karibu na wewe au ripoti polisi (ingawa sidhani kama polisi wetu watakusaidia sana)
 
Dawa yake uyo ni kumsaka mkewe na kumfyatulia kitandani kwa jamaa na ukishamaliza unaweka mazaga ndani ya viatu vyake hapo geto then unam-sms, akijifinya much know zaidi unamla tigo yy! mademu wakuokota strt mens uwa ha2gombei bali una hit and run so kama na wastrt anafanya wife 2mtigo jamaa! na ww hacha mambo za k.., ivi unajua unasoma kwa mkopo? piga kitabu nanii!
 
huyo potezea tu hana lolote na hatakufanya chochote.ningekua mbona angenikoma,na huyo demu angechapwa nao vilevile,angrrrr.
 
Wewe acha kutuletea hadithi za kutunga hapa hapa. Umesema msg imeahidi kuwa utafanywa kitu mbaya (kukameruniwa) sasa suala la kutishiwa kufa linatoka wapi? Na kama umeshajua anakutishia tu, shida yako nini, si na wewe mtishie. Mwambie wewe ni yule unayepiga mkia mtu na demu wake na umeshindikana kwa hilo kwani unalifanya kwa style ya ki-popobawa, utaona mwenyewe kama hakukuomba msamaha.
 
Back
Top Bottom