National Security Council Chairman yupo? hayupo...

Highlander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
3,093
1,075
mwenyekiti wa Baraza la Usalama wa Taifa Tanzania, ambalo linatakiwa kukutana kila wiki kufanya tathimini ya Hali ya Usalama nchini huwa rais. Hali ya Ulinzi na Usalama ni mbaya wiki hii. Mwenyekiti yupo? hayupo! Au kamwachia mtu kazi hiyo? Kamwachia nani kazi hiyo? Na je huyo aloachiwa anaweza kazi hiyo? Any body with useful information?
 
Taratibu za kazi,ukiwa safari lazima unakaimisha ofisi,Katiba ya Jamhuri wa Muungano inataja kazi za Rais na kama hayupo ni nani anayechukua jukumu la kiongozi wa nchi.!!!!!
 
Taratibu za kazi,ukiwa safari lazima unakaimisha ofisi,Katiba ya Jamhuri wa Muungano inataja kazi za Rais na kama hayupo ni nani anayechukua jukumu la kiongozi wa nchi.!!!!!


Samaani mkuu. Kwa hiyo itakuwa sahihi kusema kwa kuwa rais hayupo, basi mwenyekiti wa National Security Council ni Makamu wa rais. Na je hii inaweza ikawa sababu ya hali ya usalama kuzorota sana? Kwamba mwenyekiti aliyepo kazini sasa hafai?
 
hivi huwa wanakutana kila wiki?


Kuna siku jamaa mmoja uwaga anasema ukweli sana kwenye redio mbao eti inakuwa kama vile Postmotam ya kila wiki kutathmini hali ya usalama. Wanakaa Mkuu wa Majeshi CDF, Inspecta Jenerali wa Polisi, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Raisi akiwa Mwenyekiti.

Hicho ndo kikao kinachoamua mtu awekwe kizuizini au aachiwe. Na kwa maana ya hali iliyopo nchini, maamuzi ya Ponda anatupwa detension yangeanzia hapa. Hata lile la Ulimboka kutupwa Mabwepande linawezekana liliamriwa hapoa.

We unavyoona hali ya nchi ilivyo leo. Hichi kikao kina vichwa kweli?
 
Back
Top Bottom