National Organization 2006

Lighondi

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
581
184
Nilikuwa napita kwa Web ya Wizara ya Fedha na Uchumi ghafla nikakutana na hiki kitu. Kiumri inaonekana kama imepitwa na wakati lakini kimantiki inaweza kuwa na msaada na mahali pazuri kuanzia pa kuelewa jinsi (kama taifa/nchi) tunachomiliki na kudaiwa. Sikuwa naelewa vizuri sana na hivyo sikuweza kuchambua kwa undani. Naomba wataalamu wa mambo hayo watuchanganulie maana ya haya majedwali na mustakabali wetu katika kizazi hiki na kijacho.

Naomba kuwasilisha.

Source: Ministry of Finance - Government assets and parastatals
 

Attachments

  • National Organization.xls
    155.5 KB · Views: 39
Haya kazi kwenu wataalamu wa namba namba!!!
Msishangazwe na umri maana hii ndio "latest version" kwenye web yetu ya wizara!!!!!
 
Back
Top Bottom