National Insurance Corporation of Tanzania Ltd Interview

Mwana UoA

Member
Nov 8, 2011
47
6
Hii kali mwaka huu hivi imagine mkurugenzi kweli anaamua kutangaza kwenye newspaper wale wote waliomba kazi ya Assistant Accountant waende kwenye written interview na for more information tembelea www.nictanzania.com unaingia kwenye web hamna information yoyote hivi hii c dharau wanaona watoto wa maskini tunavohangaika ndo wameamua kutumia njia kama hizi nenda pspf nssf the sama way da jamani hichi kiama
 
Mimi huwa sielewi hawa wanaojiita watu wa IT kwenye hizi taasisi kubwa kubwa huwa wanafanya nini maofisini. Wako busy na lunch tyme kuliko kitu kingine chochote, simu mbili mbili na flash disk yenye kamba kuubwa ikining'inia shingoni na mashati ya kuimbia kwaya. Ukija kwenye website zao, SIFURI. Tangu ilivyotengenezwa haijawahi kuwa updated. Ndugu zangu tufanye kazi na sio kudisplay vyeti maofisini. Sasa huyo mkurugenzi itakuwa kamwambia mtu aandike yeye mwenyewe hata hajawahi kufuatilia.
 
Hapa naona umepigilia msumari wa moto utosini...sina la kuongeza
 
sasa hapa naenda kuwambia mashosti wangu
niliomalia nao chuo waje kufanya interview

Gazeti gani wametoa???
 
Angalia mwananchi ya jana na leo pia vichekesho jamani watu imefikia kweli wanafanya mambo kienyeji wanavotaka wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom