National form six exams-2012

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Wapendwa wanangu mnaoanza mitihani yenu leo,
Nawatakia kila la kheri katika mitihani yenu inayoanza leo. Bila shaka mmejiandaa vizuri.
Mungu awe nanyi -AMEN
 
Mungu awatangulie katika mitihani yenu. Huwa kuna feki zinasambazwa, chondechonde, zifanyeni kama past papers tu za miaka ya nyuma, kamwe msiamini kuwa ni mtihani kwani ukiamini kuwa ni mtihani, kesho ukiingia chumba cha mtihani, ukikuta mambo ni tofauti, utahamaki, na hivyo kushindwa hata kufanya maswali ambayo siku zote umeyajibu na unayafahamu
 
Hivi wanaanzaje mitihani ilhali matokeo ya 4m 4 hayajatoka?? Anyway kila la Kheri
 
nkutakieni Mtihani mwema members wote wa JF mnaofanya pepa leo au mnaoresit kila la kheli watahiniwa wote..
 
Back
Top Bottom