National debt rises to Sh11 trillion

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,873
By Victor Karega

The national debt stock increased by nearly two per cent in June to about $8.49 billion (about Sh11 trillion) from the previous month's figure of $8.33 million, according to the Bank of Tanzania's July monthly economic review (MER).

The central bank attributes the increment to exchange rate fluctuations, accumulation of arrears on external debts, new external loans and issuance of new government bonds on domestic debts.

BoT says that out of the total debt stock, the external debt was 79.5 per cent and domestic debt 20.5 per cent.

The MER further shows that the external debt rose to about $6.75 billion in June from $6.62 billion in May.

"Out of the total external debt stock, $5,236.3 million (77.5 per cent) was disbursed outstanding debt (DOD) and the remaining balance of $1,516.3 million equivalent to 22.5 per cent was interest arrears," says the report.

The outstanding domestic debt stock in June rose by Sh19.35 billion (0.9 per cent) from about Sh2.24 trillion recorded at the end of the preceding month to about Sh2.26 trillion.

"The increase was due to new financing, mainly through issuance of government bonds. Out of total domestic debt, Government securities accounted for 99.6 per cent and the rest 0.4 per cent was unsecuritised debt."

The profile of disbursed outstanding debt (DOD) by creditor category reveals that the central government remained the largest borrower holding debt amounting to $4,118.2 million (78.6 per cent) followed by private companies with $972.4 million (18.6 per cent). The debt owed by parastatal companies was $145.7 million equivalent to 2.8 per cent of DOD.

It also indicates that multilateral institutions, bilateral, commercial and export creditors remained the leading lenders accounting for $3,177.4 million (60.7 per cent), $933.5 million (17.8 per cent, $707.3 million (13.5 per cent) and $419.1 million (8.0 per cent) respectively.

During the month under review, disbursements received and recorded amounted to $7.7 million while external debt service payment amounted to $4.6 million. Out of this, principal repayments amounted to $2.2 million and interest payments were $2.4 million.

The report shows that BoT is the leading creditor to the Government, holding 39.5 per cent of the total domestic debt followed by commercial banks with 28.7 per cent.

The other creditors are pension funds, non-bank financial institutions and other official entities, which hold 25.8 per cent, 2.3 per cent and 1.5 per cent respectively.

"The remaining portion of 2.2 per cent was held by insurance companies, private sector creditors and BoT special fund."


Source: The Citizen
 
can someone put it in a simple language, what is the effect of those trillions to the already poor lumpens of Tanzania.

Does it mean that the ministers and MPs wont be paid their salaries? Will the Govt fail to buy medicine which are after all inadequate and to cap it all will kilimo kwanza be affected? Can someone lecture us on the effect of this debt.

Almost forgot will Barrick and other mining companies taking millions from us assist us in paying this debt?
 
Kaazi kweli kweli, sasa hiyo impact ya 11 Trillion inamgusa nani, maana walala hoi wapo hoi hivi tunavyo ongea.
 
Mliambiwa nchi inauzwa mkafikiri mnataniwa ...

Sasa hivi wakaazi wa nchi hii hawana tofauti na watumwa, sema tu watumwa wengine ni watumwa mwakubwa ...
 
Hivi impact ya kuwa na deni kubwa kama hivi ina maana kuwa pesa zote zimeinject katika uchumi au vipi?? sasa hivi kipindi cha Mkapa Deni lilipugua sana na taifa
 
Duh hii kali ina maana hata mtoto ambaye bado hajazaliwa anadaiwa.Mlalahoi anayepata pato chini ya dola moja kwa siku hali ikoje!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
deni wala sio kubwa sana kwa ukubwa wa nchi na resources tulizonazo ila hatuna watu makini,hizo 10 billion$$$ ni sales za kawaida sana kwa makampuni ya wenzetu,hao Barrick wanaotumiliki nafikiri wana worth kuliko hilo deni,yaani sijui ile bandari,utalii na maliasili zote tulizonazo zinatusaidia nini? na umaskini wa vichwa tuu!
 
September 28 2009

THE national debt stock as at the end of July 2009 stood at $8,844.1m, representing an increase by 1.2 per cent from $8,740.5m recorded at the end of the preceding month, the central bank monthly report has stated.

According to the report, the increase was attributed to exchange rate fluctuations, recording of new disbursements, accumulation of interest arrears on external debt and issuance of new government bonds. Out of the total debt stock, external debt was 80.0 per cent and domestic debt was 20.0 per cent.

As at the end of July 2009, the external debt stock amounted to $7,071.9m representing an increase of 1.0 per cent from $6,999.4m registered at the end of the previous month. Out of the external debt stock, $5,483.0m (78.3 per cent).

The profile of Disbursed Outstanding Debt (DOD) by borrower category reveals that the central government remained the largest borrower holding debt amounting to $ 4,166.6m (75.2 per cent) followed by private companies and parastatal organisations with debt amounting to $978.6m and $392.3m respectively.

With regard to creditor category, multilateral institutions remained the leading creditors by holding $3,480.3m (62.8 per cent), while the amount owed to bilateral creditors stood at $932.1m.

The remaining debt amounting to $706.2m and $419.0m were owed to commercial and export creditors respectively.

During the month under review, disbursements received and recorded amounted to $49.6m. External debt service payments amounted to $6.0m, out of this, principal repayments amounted to $3.2m and interest payments were $2.8m.

The outstanding domestic debt stock as at end July 2009 stood at 2,327.5bn/-. Domestic debt recorded an increase of 65.2bn/- (2.9 per cent) from 2,262.3bn/- registered at the end of the preceding month mainly due to government increased issuance of government bonds. Out of total domestic debt, government securities accounted for 99.6 per cent.

The profile of domestic debt by holder category shows that BoT is the leading creditor to the government holding 42.6 per cent of total domestic debt followed by commercial banks with 27.1 per cent of the total domestic debt.

Other creditors are Pension Funds, Non-Bank Financial Institutions, official entities, insurance companies, individual creditors and Bank of Tanzania special funds.


Source: ThisDay
 
Hili deni lina uhusiano gani na uhuru wetu wahenga walisema ukidaiwa huwezi kuwa huru, hebu tuambieni watalaam.

Ukizingatia kuwa serikali ndio inayoongoza kwa kudaiwa 75,2 % of the total debt
The profile of Disbursed Outstanding Debt (DOD) by borrower category reveals that the central government remained the largest borrower holding debt amounting to $ 4,166.6m (75.2 per cent)

na wanaodai ni mashirika ya kimataifa
With regard to creditor category, multilateral institutions remained the leading creditors by holding $3,480.3m (62.8 per cent), while the amount owed to bilateral creditors stood at $932.1m.

Kawaida creditors wakiamua ulipe wanauza collateral in ou
r case collateral yetu ni nini isije kuwa bendera ya taifa au wimbo wa taifa.
 
Tafsiri ya huu mzigo wa madeni pamoja na umaskini inapatikana vijijini. Nilikuwa bush fulani last week, kwa kweli mambo ni magumu......kuna mambo mengi ya kufanya kwa taifa hili.........!

Cheki madogo wana furaha ya kupigwa picha lakini wako kwenye umaskini mkubwa ......! Nakumbuka ile picha ya JK akigawa pipi kwa mtoto, kwa kweli niligawa vijisenti (real vijisenti coins yaani mia, hamsini, mia mbili) vikaniishia!

6047d1254146807-national-debt-rises-to-sh11-trillion-dsc04010.jpg
 

Attachments

  • DSC04010.jpg
    DSC04010.jpg
    63.5 KB · Views: 58
Tafsiri ya huu mzigo wa madeni pamoja na umaskini inapatikana vijijini. Nilikuwa bush fulani last week, kwa kweli mambo ni magumu......kuna mambo mengi ya kufanya kwa taifa hili.........!

Cheki madogo wana furaha ya kupigwa picha lakini wako kwenye umaskini mkubwa ......! Nakumbuka ile picha ya JK akigawa pipi kwa mtoto, kwa kweli niligawa vijisenti (real vijisenti coins yaani mia, hamsini, mia mbili) vikaniishia!

6047d1254146807-national-debt-rises-to-sh11-trillion-dsc04010.jpg

Hiyo ndio picha ya majority ya watanzania. Sisi tumezoea kuona umaskini wa mjini huu ndio umaskini wa kweli, mama yao yuko rumande alipika gongo ili akipata faida kiduchu awapeleke watoto shule kwa faida itokanayo na gongo.

Akaja mlevi akanywa hiyo gongo akakataa kulipa, pombe yenyewe ya shs 1,000/=, mama akakasirika akampiga yule mlevi kwa ngumi nafikiri. Mlevi malnourished toka alipokula wali wakati wa uchaguzi wa 2005 hajala tena wali au hata ugali na kisamvu, mlo wake ni gongo na supu ya ngozi, gari ya benki akipinduka mbele yake, Vinginevyo ni gongo na kachumbari . Ile ngumi ikamuua.

mama kakamatwa yuko ndani watoto ndo hao, hizo smile sio za furaha wana raha gani?????? Smile ni full of uncertanities. Kesho hawataenda shule, hawatakula mwishoni watakuwa majambazi kwa wanaume na kwa wasichana you name it. To put it better kama ile slogan inayopendwa na CCM mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.

Mwishoni, In them hawa ndio wapiga kura wajao,wabunge wajao, madiwani na mawaziri tutegemee nini hawa watoto wakifika age of majority, na deni ndio hilo ambalo hela zimetumika kununua VX, Benz, Nissan Patrol, Ndege ya Raisi,Radar etc.

Maisha bora kwa kila Mtanzania hii falsafa ni kweli?? mama rumande, baba kasepa, karne ya 21 mziwanda ndio privileged kanunuliwa ndala ambazo hata zinavyovaliwa hajui kageuza maskini, wengine wote pekua hata yeboyebo hawana. Nguo zao hizo toka 2005 wanasubiri next year wakati wa uchaguzi T shirt, kanga na kofia bure na slogan nyororo.
 
Tunaweza tukawa na Deni kubwa sana kama hili, lakini ukweli kwamba uchumi wetu upo vipi?Je ni kweli kwmba taifa la Marekani lilikuwa na deni kiasi gani
 
By Hassan Mghenyi
Sept 29, 2009

The Government has to pay billions of shillings more in interest on its ballooning external debt from the first month of the current financial year compared with a similar period a year earlier.

The interest rate on the external debt amounted to $1,534.4 million (Sh2 trillion) as of July this year against $1,516.3 million (Sh1.97 trillion) the preceding month, according to the Bank of Tanzania's August 2009 monthly review.

The national debt stock as at the end of July 2009 stood at $8,844.1 million, representing an increase of 1.2 per cent from $8,740.5 million recorded at the end of the preceding month.

The increase was attributed to exchange rate fluctuations, recording of new disbursements, accumulation of interest arrears on the external debt and issuance of new government bonds.

Out of the total debt stock, the external debt was 80 per cent while the domestic debt was 20 per cent.

Once a country borrows, it has to repay the borrowed (loan) amount plus interest and any associated costs. To meet these expenditures, the Government needs to have financial resources (revenue).

Essentially, the Government would use its domestic revenue arising from tax and non-tax sources, according to the Finance and Debt Policy.

Hence, the situation would force the Government to tax more in the next financial year's budget. The Government plans to collect a total of Sh5.096 trillion from domestic sources to meet its budgetary obligations this financial year, up from Sh4.728 trillion last fiscal year.

As of July this year, the external debt increased by one per cent to US$7,071.9 million, up from the $6,999.4 million that had been borrowed by June.

The debt was used to support balance of payment and budget support to the tune of $1,972.6 million in July against $1,935 million the previous month.

Over 62.8 per cent, or $3,480 million, of external debt was owed to multilateral institutions, bilateral creditors $932 million (16.8 per cent). The remaining portion amounting to $706 million and $419 million were owed to commercial and export creditors, respectively.

During the month under review, disbursements received and recorded amounted to $49.6 million. External debt service payments amounted to $6 million, out of which principal repayments amounted to $3.2 million and interest payments were $2.8 million.

The Government's financial year begins in July and ends June in the following year, and is marked by the reading of the Budget, where the Government lays down its financial proposals.

The outstanding domestic debt stock as at the end of July 2009 stood at Sh2,327.5 billion. The domestic debt recorded an increase of Sh65.2 billion (2.9 per cent) from Sh2,262.3 billion registered at the end of preceding month mainly due to the increased issuance of government bonds.

Out of the total domestic debt, government securities accounted for 99.6 per cent and the rest was unsecuritised. Government papers debt amounted to Sh2,327.5 billion as of July, up from Sh2,254 billion the preceding month.

The profile of the domestic debt by holder category shows that BoT is the leading creditor to the Government, holding 42.6 per cent of total domestic debt followed by commercial banks with 27.1 per cent.

Other creditors are pension funds, non-bank financial institutions, official entities, insurance companies, individual creditors and BoT special funds.
 
Hizi namba kweli zinachanganya sana. Sasa kama tikiamua kutoa kiwango cha madeni kwenye akiba yetu ya fedha za kigeni, tutabaki na nini?
 
Hii ndio Tanzania ya "UTULIVU NA AMANI" ambapo wananchi wanakula la kuishiba huo wimbo Wa UTULIVU NA AMANI ambao maana yake ni kwamba Wakubwa wanakula na kuvimbiwa huku walala hoi wakiwa wametulia kimya wakiugulia ndai kwa ndani!

Jana tumemsisika kinara wa mawaziri eti akishangaa kuon mawaziri wa serikali ya India wanatembelea magari ya bei ndogo! Anataka kutuambia hajasikia hapo jirani Rwanda Kagame aliyapiga mnada wa hadhara mashangingi ya serikali?

Hizi porojo anazotuletea eti watendaji wa wilaya wasinunue magari yenye thamani ya zaidi ya million 100! hizo millioni !00 haoni kama bado ni mzigo kwa walala hoi?

Wakati wa Magufuli akiwa miundo mbinu alifanya kazi kubwa ya kuyadhibiti magari ya umma ambapo iligundulika mengine yamesajiliwa namba ya watu binafsi lakini shukrani ya serikari ya CCM ni kumtoa na kumtupa Wzara ya ARDHI ambapo pia ka fanya wounders! lakini nako hakudumu!

Katupwa kwenye wizara ya KITOWEO nako hatadumu (meli wa Wachina inamtokea puani)
Kama kweli Pinda ana nia thabiti aanzie kwanza kwenye msafara wake mwenyewe aondoe mlolongo wa magari ya kifari kisha na huo msafara wa Rais wetu unaosababisha kero kwa wakazi wa Da es salaam> msafara una magari ya kifahari ambao halingani na umaskini (wa kujitakia) tulio nao! kila anapotoka msururu wa magari ya kifahari ni wa kutisha na barabara zote zifungwa na kusababisha misingamano na foleni za kutisha1 hebu mnunulieni helicopter ili tuondokane na hii adha!

Hivi kweli ni lazima Rais anapopita barabara ifungwe hata hajatoka Ikulu saa nzima kabla?
sasa hivi tunaambiwa barabara ya Ocean road upande wa Ikulu unaoangalia baharini marufuku kupita magari kuanzia !2 jioni mpaka kesho yake 12 asubuhi! mabo hayo!

Wenzetu Uingereza Pale No10 Downing Street ( Ikulu Ya nchi) unapita hadi chini ya dirisha!
Hivi Pinda anategemea hao wateule wenzie watayachia hayo Ma V8 wakati hat yeye kiranja wao anatumia hayi hayo?

MHESHIMIWA WAZIRI MKUU "HATUDANGANYIKI"
 
Kuna haja ya kureview takwimu zetu za kiuchumi katika taifa la Tanzania maana hazitoi dira na mwelekeo halisi ya maisha ya watu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom