National Broadband Backbone Launched

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
The National Information Communication and Technology Broadband backbone was switched on yesterday in 16 regions after the completion of the first phase of its construction.

The move brings the hope of increased efficiency and reduced Internet prices in Tanzania.

The backbone, which is the terrestrial continuation of the fibre optic submarine cables that landed in Dar es Salaam, recently, has already led to a 99 per cent drop in internet capacity charges.

Source:
The Citizen
 
The backbone, which is the terrestrial continuation of the fibre optic submarine cables that landed in Dar es Salaam, recently, has already led to a 99 per cent drop in internet capacity charges

Hapo red, sijapafahamu uzuri, hebu nikamate Citizen niangalie walikuwa wana-imply nini
 
If TTCL can reduce backhaul link costs by 99% too, so as to enable Local ISPs operate in the 16 regions. That would be excellent....
 
The backbone, which is the terrestrial continuation of the fibre optic submarine cables that landed in Dar es Salaam, recently, has already led to a 99 per cent drop in internet capacity charges.
Nami naungana na Baba_Enock kuhoji ukweli wa taarifa hizi. Hawa the Citizen walikopi tu hiyo taarifa sehemu au walifanya utafiti wenyewe?! Sijui kama wametoa mifano ya sehemu ambapo hizo bei zimepungua!!
 
Kwa kweli TTCL kwa ifanstructure walizonazo wana competative advantage ila sijui kama wana sound VISION na MISSION kwenye hii issue. Kama ipo sijui kama kuna mwenye taarifa atupe. Kwa simu za mikononi(Voice) washaachwa mbali sana simu za mikononi lakini kwa hii.

TTCL kama wakitutumia hii infastructure ya broadband vizuri can generate them more income na kama wakifocus ku suply Internet kwenye kila nyumba hasa sehemu ambazo miundombinu ya nyaya zao ipo . TTCL can be the biggest and cheapest ISP in tanzania
 
99% my behind! tusidanganyanye, Internet bado ghali kupita kiasi, bado tuna chargiwa kwa bundles , hawajui internet inatumika kwa kila kitu sasa kucharge kwa bundle bado ghali , mbaka sasa unlimited access ni ghali sana.
 
Nakubali kwamba TTCL wakifocus kwenye "bandwidth wholesaling" na kuwa "Data / Infrastructure provider" itakuwa vizuri. Lakini si busara kwa TTCL kucompete kwenye ISP level. Hapa kuna utata kidogo. Kuna "conflict of interest" hapa. Kwasababu ni TTCL wana operate fibre cable, ni wanaprovide bandwidth kwa ISPs. Sasa nao wakija kushindana na level ya ISP itakuwa monopoly.

Fikiria , JE kama Seacom aje afungue biashara ya ISP ! Hawa ISP wengine wata survive kivipi ? Hawezi kuwa Wholesaler na Retailer.

Kama wanataka kuwa ISP pia, TTCL wafungue kampuni nyingine. Na zifanye kazi kama two different entities. Hiyo retail company inunue bandwidth from TTCL at market prices..

Hapo ukweli , bado gharama zipo juu.

Nilikuwa nina swali , Kwa mtanzania wa kawaida , ambaye ana uwezo wa kununua modem na computer. Je uko tayari kulipa Tsh ngapi kwa ajili ya Internet kwa mwezi. -hili jibu litawasaidia hao wanaopanga bei.

B.P
 
Hi Launch mbona imeenda KIMYA KIMYA - Was this not suppose to be "breakthrough" - Was expecting an "earth-shaking" kind of party kama ile ya kutia sahihi sheria ya gharama za uchaguzi!
 
Nilikuwa nina swali , Kwa mtanzania wa kawaida , ambaye ana uwezo wa kununua modem na computer. Je uko tayari kulipa Tsh ngapi kwa ajili ya Internet kwa mwezi. -hili jibu litawasaidia hao wanaopanga bei.

B.P

Kwa tsh elfu 20,000/= na 35,000/= wengi wetu tunaweza kuimudu.
 
Nakubali kwamba TTCL wakifocus kwenye "bandwidth wholesaling" na kuwa "Data / Infrastructure provider" itakuwa vizuri. Lakini si busara kwa TTCL kucompete kwenye ISP level. Hapa kuna utata kidogo. Kuna "conflict of interest" hapa. Kwasababu ni TTCL wana operate fibre cable, ni wanaprovide bandwidth kwa ISPs. Sasa nao wakija kushindana na level ya ISP itakuwa monopoly.

Fikiria , JE kama Seacom aje afungue biashara ya ISP ! Hawa ISP wengine wata survive kivipi ? Hawezi kuwa Wholesaler na Retailer.

Kama wanataka kuwa ISP pia, TTCL wafungue kampuni nyingine. Na zifanye kazi kama two different entities. Hiyo retail company inunue bandwidth from TTCL at market prices..

B.P
Sijui kama niekupta vizuri lakini sidhani kama TTCL wanahitaji kufungua kampuni nyingine. Mobitel, Zantel, Vodacom na hata Hao TTCL wanatumia mindombinu waliyonayo kuwafikishia wateha internet. hakuna Monopoly hapo. Na licence zinazotolewa na TCRA nadhani hazina vipingamizi.

Sasa chukulia mfano cable za TTCL zilizosambaa mjini zinatumika kufanya nini? matumizi ya simu za landline yamepungua sana kwa nini wasitumie hizo cable zao kwa broadband . namiini huduma yao itakuwa fast kuliko hivyo vimodem vya sasa.

Nachosema mimi ni kuwa TTCL hawajautilise vizuri miundombinu yao. Waameshazidiwa kwenye % ya na mapato na kwenye Voice na kampuni simu za mikononi.

Sidhani kama WHO is providing Service ni issue issue ni HOW and at what price. As long as mteja atapata kitu bora na kwa bei nafuu sioni tatizo hata kama kuna monopolism.

Nimesoma kwenye Net UK BT( british Telecom) wana huduma za simu za landline na wana proivide pia broadband. Vile vile kampuni ya Sky ina Huduma za television lakini pia inatoa huduma za broadband.
 
Back
Top Bottom