Nathan Mpangala!!

Ma-DC wapya....[/QUOT]

si watapewa semina ya wiki nzima kwenye moja ya hoteli kubwa. si itawasaidia kujua namna gani ya kuchakachua semina ili wapate per diem, ndo kazi yao kubwa. Ile ya kufungua mikutano na kuhudhuria mahafali sio kazi sana kwani hotuba anapewa imeshaandikwa tayari. kumpokea rais au waziri sio kazi sana pia.
 
Back
Top Bottom