Natetemeka/Kigugumizi nikiongea Kiingereza

Mi nashangaa napata wepesi sana kuandika ngeli kuliko kuiongea, huwa nakosa mtiririko sijui nini kimenitokea siku hizi ila kipindi nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa nyoko!
 
MGOGO! Ngoja nifanye mazoezi maana j4 nakutana na wazungu fulani lazima nijiweke sawa. Mimi nipo Halmashauri fulani (Jina kapuni) sasa hao wazungu wanataka kuja kuwekeza lazima tuongee nao kwa kina! Daah Aisee namlaumu Babu wa Taifa hili kwa kukazania KISWAHILI tu. Ona sasa tunavochoreka na Digrii zetu za SAYANSI. the the the kibao. Najuta kusoma Bsc.
Wewe una lako, wala sio kwamba una shida.
 
Kuna siku nilienda ofisi fulani nilikuwa na shida na marketing manager katika hiyo ofisi kubwa tu.
Baada ya kumweleza secretary kwa ufupi akaenda kuniitia bwana.
Yule jamaa alikuwa mzungu inaonesha anatokea london mjini kabisa kwa akina blair, kingereza chake kilikuwa hakieleweki yaani anacharaza kama cherehani, labda akiongea ufanye kuandika kwanza. Yaani ilikuwa aibu pale.
Ili kujinasua, nikatema yai broken mfulululizo bila kumpa nafasi ya kuongea halafu nikasema thank you, nikamwambia secretary utamwelekeza vizuri kama nilivyokwambia eeh!
Ndio maana hiyo lugha siipendagi kabisa.
hahaha ...mkuu ulitisha sana...
 
Si bora ww mkuu unatetemeka wengine hadi kubwa inagonga, ILA shida ya nini kuwa mzalendo kama UNCLE thamini cha nyumban achana na utumwa
 
Dawa yake ni konyagi tu, yaani wewe ukiona unataka kugonga yai kwenye kadamnasi tafuta mzinga moja, tatizo litaisha, tatizo likiendelea waone BRITISH COUNCIL.
Mkuu wewe humpendi huyu akifuata ushauri wako halafu akashindwa kukiongea ataishia kulia kwa sauti
 
How to learn any language in six months | Chris Lonsdale | TEDxLingnanUniversity

Source: TEDs Talks
 
Kuna siku nilienda ofisi fulani nilikuwa na shida na marketing manager katika hiyo ofisi kubwa tu.
Baada ya kumweleza secretary kwa ufupi akaenda kuniitia bwana.
Yule jamaa alikuwa mzungu inaonesha anatokea london mjini kabisa kwa akina blair, kingereza chake kilikuwa hakieleweki yaani anacharaza kama cherehani, labda akiongea ufanye kuandika kwanza. Yaani ilikuwa aibu pale.
Ili kujinasua, nikatema yai broken mfulululizo bila kumpa nafasi ya kuongea halafu nikasema thank you, nikamwambia secretary utamwelekeza vizuri kama nilivyokwambia eeh!
Ndio maana hiyo lugha siipendagi kabisa.

nmecheka sana mamaee ilishawah nitokea kama ivyoo nikaongea kingeleza haraka haraka nikachanganya na maneno ya kiswahili had mzungu katapika
 
Practice English conversation

Published on 12 Dec 2015
Oxford English Daily Conversation Episode 1

Source: English is fun
 
Practice English conversation
Oxford English Daily Conversation Episode 2

Source: English is Fun
 
Practice English conversation
Oxford English Daily Conversation Episode 3

Source: English is Fun
 
Kuna siku nilienda ofisi fulani nilikuwa na shida na marketing manager katika hiyo ofisi kubwa tu.
Baada ya kumweleza secretary kwa ufupi akaenda kuniitia bwana.
Yule jamaa alikuwa mzungu inaonesha anatokea london mjini kabisa kwa akina blair, kingereza chake kilikuwa hakieleweki yaani anacharaza kama cherehani, labda akiongea ufanye kuandika kwanza. Yaani ilikuwa aibu pale.
Ili kujinasua, nikatema yai broken mfulululizo bila kumpa nafasi ya kuongea halafu nikasema thank you, nikamwambia secretary utamwelekeza vizuri kama nilivyokwambia eeh!
Ndio maana hiyo lugha siipendagi kabisa.
Ah ah ah ah uhiii nipo mtaani nimecheka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom