Natetemeka/Kigugumizi nikiongea Kiingereza

yaan hii lugha imenitesa kwa muda mrefu sasa lazima nijifunze kwa nguvu, maboss wangu ndio native english speakers, majanga yanakuja pale tunapo Skype, yaani ni full kutetemeka na kuishia kusema yeah yeah, of course, true, duh hii aibu sasa basi!
 
Yap, mkuu jifunze... YOTE YANAWEZEKANA....

Kwa Wakristo, wanasema Yote Yanawezekana kwa Jina la Yesu!, au Kwa Allah [Mola] Yote Yanawezekana!

Kwa hiyo bado hujachelewa! Big Up, and keep it up!!
 
shukurani mkuu, nimeshalipa uzito unaostahili kwa kuanzisha "operation speak english"
 
Kuna siku nilienda ofisi fulani nilikuwa na shida na marketing manager katika hiyo ofisi kubwa tu.
Baada ya kumweleza secretary kwa ufupi akaenda kuniitia bwana.
Yule jamaa alikuwa mzungu inaonesha anatokea london mjini kabisa kwa akina blair, kingereza chake kilikuwa hakieleweki yaani anacharaza kama cherehani, labda akiongea ufanye kuandika kwanza. Yaani ilikuwa aibu pale.
Ili kujinasua, nikatema yai broken mfulululizo bila kumpa nafasi ya kuongea halafu nikasema thank you, nikamwambia secretary utamwelekeza vizuri kama nilivyokwambia eeh!
Ndio maana hiyo lugha siipendagi kabisa.
Nimejikuta nacheka peke yangu hii post yako ,some people you can't them.
Sasa mkuu unadhani kuongea mfululizo ndiyo kutakuonyesha unaiweza lugha?Umewekeza muda na fedha kiasi gani katika kujifunza hii lugha?Wengi hatujawekeza vya kutosha lakini tunataka muujiza tuijue lugha.
 
Wadau hii hali inanikuta nikitaka kutema yai sijui kwa nini tena nikiwa kwenye kadamnasi napata ubaridi zaidi. Msaada jamani naaibika mwenzenu.
jifunze kuvaa makoti mazito zito ili huo ubaridi usikukute alaf ukiongea kama confidence inapotea cheka kidogo hatakama hakichekeshi utakua ume lose attention alaf unaendelea na broken ili kuonesha unakosea maksudi kila ukiongea broken cheka
 
Ha ha ha
hicho kichwa cha habari kimenifanya nicheke duh! naona ukoloni bado unashika hatam
 
Lugha ziko nyingi ukiongea Kisambaa au Kikurya kuna ubaya gani hapo pengine Lugha ya kwenu hujui hata Salaam unang'ang'ana na ung'enge nao haukutaki.
Umesahau kwamba kila lugha inamazingira yake.yawezekana mazingira yanamlazimu kuitumia.vilevile hiyo ni lugha rasmi kwa taifa letu.
 
uwe unakunywa viroba kabla ya kuongea utapata ujasiri wa ajabu mi huwa nafanya hivyo

binti wa kikwere,, haa haaa utaua mtu aiseee teee teeeh, daaaah!
Angalia signature yako "" kama ipo ipo tu.... hiyo lugha kama ipo ipo tu,, ila waweza jifunza na kutema yai vizuri bila kutetetmeka na pasipo kushirikisha Viroba teeh teeeh haaa haa.
 
Mmh? Kwa nini uteme yai? kama umeshiba kwani lazima kula? Alafu huo ubaridi unaousikia labda umekula yai viza...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom