Nateseka kungoja

52 mambo niaje? Za siku !
Msaidie mtu hapo mihogo inaelekea kwisha, atachoma na mahindi , muitishie mlengwa wake, labda alipo hamna Netiwakinga (netwk)
Hahahaaaaaa anaweza yachoma mamihogo hadi yaungue lol
Mi mzima Judgement...
 
Heheh......huo wote ni wasiwasi wako tu Kaizer, kwani hujiamini?? Alafu huyo babu unamwita aje anipeleke wapi? Hata hivyo naenda zangu kulala......nitakie usingizi mwema ili nilale nikikumbuka maana ya infii!!

He he he Kipipi wangu jilalie mwaego achana na huyu bwana infii....lol
 
Last edited by a moderator:
Yah nimeona....hivi bado hajapatikana?
Pia naomba umwambie Kipipi nimemmiss sana toka moyoni....japo beep inatosha kusuuza mtima wangu
Halafu mi nilingoja wangu hajaja hadi leo nimeamua kuwa mpole... Kaizer karibu kwenye chama cha kungoja uwe katibu wangu!

Erick utanimiss saana mwaka huu, na hivi simu yangu kipenzi ndo imeibiwa......yaani ntaonekana kwa machale kabisa! Sema yote mpenzi kabla sijadisappear, kama kukubeep nishatimiza na nitakupigia kama utapenda! Btw, sikujua kama huwa unanikumbuka kiasi hicho Erick, theeenks!
 
Last edited by a moderator:
Erick utanimiss saana mwaka huu, na hivi simu yangu kipenzi ndo imeibiwa......yaani ntaonekana kwa machale kabisa! Sema yote mpenzi kabla sijadisappear, kama kukubeep nishatimiza na nitakupigia kama utapenda! Btw, sikujua kama huwa unanikumbuka kiasi hicho Erick, theeenks!

Erickb52 ndo nini hiki?
 
Last edited by a moderator:
Na nililala unono kweli my Yummy, huyu Kaizer sijui ananitakia nini kwa huyo mume wenu ilhali anajua fika mie siwezi kukafollow hako kakikongwe kenu....lol!!

Lol....huyu mnaemuona kikongwe ni kwenye macho yenu Kipipi wangu sie wenzako tunamuona ndo kwanza switi 24 waulize wake wenzangu watakupa za chini ya uvungu.
 
Last edited by a moderator:
cacico, milele amina mpendwa wangu! Lakini hapo uliponiweka kwenye fungu la kukosa.....mbona imekaa kinegative sana, huoni kama hujanitendea haki wajameni?? Sawa tu.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom