Nateseka kungoja

hahah.....Kaizer leo umenifurahisha kweli, hujui infii wewe, au kwa vile Teamo hayupo eeh? Alafu.....tafadhali bwan'shee, kulikoni mie nikuombee mabaya na mwezi huu kweli?? Au unajihisi tu? Lol

Kipipi , kwa kauli na matendo, hakika unaniombea mabaya ila ndo ivo niko vzri! Hujanambia infi ndo
Nn?

Asprin popote ulipo come and take Kipipi.
 
Last edited by a moderator:
Kipipi hicho ndicho kilichonivutia ku comment. pamoja na kusema sio mdau wa chit chat na mkoloni wangu kubania mtandao nikaona nikitoka hivi hivi haitalipa! hebu nijirudie zangu kazini. lolz, endelea kuchokoa nije nisome majibu yenu baadae labda tutaelewa. hahaha!

Umeona eeh! Ila bahati mbaya usingizi umenishika, ngoja kwanza nami nikalale though natamani niendelee kuwepo hadi bibie ashow off! Lol
 
Kipipi , kwa kauli na matendo, hakika unaniombea mabaya ila ndo ivo niko vzri! Hujanambia infi ndo
Nn?

Asprin popote ulipo come and take Kipipi.

Heheh......huo wote ni wasiwasi wako tu Kaizer, kwani hujiamini?? Alafu huyo babu unamwita aje anipeleke wapi? Hata hivyo naenda zangu kulala......nitakie usingizi mwema ili nilale nikikumbuka maana ya infii!!
 
Last edited by a moderator:
Basi hata sijui tumuweke fungu gani cacico
fungu la kukosa lamfaa! hivi Kaizer ushawahi kutana na mwanamke ruba? king'anga'nizi mpaka anatamani aivunje ndoa yako, au amroge mkeo?? lol" yamemkuta hubby wangu, mpaka kaja kunisimulia, kuwa anajuta kucheat! lol, nisaidie basi kuandika thread ya ushauri khaaaaaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Heheh......huo wote ni wasiwasi wako tu Kaizer, kwani hujiamini?? Alafu huyo babu unamwita aje anipeleke wapi? Hata hivyo naenda zangu kulala......nitakie usingizi mwema ili nilale nikikumbuka maana ya infii!!
" Eee Mungu wa Majeshi mlaze pema Kipipi ili aweze kukumbuka maana ya infi Amen"

Baada ya sala fupi naendelea kumsubiri mpenzi wangu mwenye shingo ya upanga....
 
Last edited by a moderator:
fungu la kukosa lamfaa! hivi Kaizer ushawahi kutana na mwanamke ruba? king'anga'nizi mpaka anatamani aivunje ndoa yako, au amroge mkeo?? lol" yamemkuta hubby wangu, mpaka kaja kunisimulia, kuwa anajuta kucheat! lol, nisaidie basi kuandika thread ya ushauri khaaaaaaaaaaaa!

Makubwaaaaaa cacico, mi mke wangu mbona ndo kaniganda eti anasema ataniloga lol sasa inappkuwa ivoo ndo inakuwaje? Khaaaa

( come this way shemeji)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom