Nateseka kungoja

Owowowo nikupe nini sasa e maaama
Owowo nifanye nini sasa e maaama .........

Jamani tumetoka mbali mi na wewe!
 
Nilivyoona heading nikajua ni Erickb52 kammiss Amyner.......kumbe jemba tofauti kabisa duh! Lol

Kipipi hicho ndicho kilichonivutia ku comment. pamoja na kusema sio mdau wa chit chat na mkoloni wangu kubania mtandao nikaona nikitoka hivi hivi haitalipa! hebu nijirudie zangu kazini. lolz, endelea kuchokoa nije nisome majibu yenu baadae labda tutaelewa. hahaha!
 
Kipipi mbona kama unalala unaota nipatwe na mabaya!? Shindwa!
Halafu infi ndo nini?

hahah.....Kaizer leo umenifurahisha kweli, hujui infii wewe, au kwa vile Teamo hayupo eeh? Alafu.....tafadhali bwan'shee, kulikoni mie nikuombee mabaya na mwezi huu kweli?? Au unajihisi tu? Lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom