Natembea na mke wa jirani yangu tena rafiki yangu sana.

hicho kichwa cha habari kimenistua! nikajua 'kutembea' kumbe ni kutembea. haya umetupata
 
utapata "views" nyingi sana...
hata mmn natembeaga na mshkaji wangu kwenda mwenge
 
hata kama uko nae kwenye daladala lakini unakoelekea ni kutembea ile ya kiukweli ukweli
 
Jamani matokeo ya Form IV si yameshatokaa:..

Mbona ***** hauishi? Au hawa ndiyo waaliofeli... Au kupata Mwanaasha?
 
Yale yale ya Mtambuzi ya kumuacha mke wake, nimefungua kwa speed kuangalia ni mtu gani anatembea na mke wa mtu aisee umeniacha njia panda. Kweli wewe ni complicator
 
Mmh huuu da! Nilikuwa na hasira dhidi yako kwa vile nachukia sana ufedhuli wenye sura kama hii kumbe we 'unatembea' tu!!
 
Back
Top Bottom