Natangaza rasmi

Je ni mweupe mweusi maji ya kunde ili mikakati ya kutafuta ng'ombe wa maziwa. kabati la mbeo na gari la gorofa ianze mapema si unajua kuwa kwetu siyo matajiri mwanangu.
 
sifa zote anazo,nadhani huu ndo wakati wa kutoka kiuchumi
 
Hongereni sana the newest couple!!!

Ngoja wengine bado tupo tupo tu! Maana raha ya kuwa free bado tunataka tuileeee na tuimalize bana...
 
Mwali wapo sana ila au ni woga au hawajapata mafunuo

Ila ukipiga tochi utawapata wengi tu
 
Hongereni sana the newest couple!!!

Ngoja wengine bado tupo tupo tu! Maana raha ya kuwa free bado tunataka tuileeee na tuimalize bana...
thanks mkuu....utakuwa bado bado mpaka lini
 
Back
Top Bottom