Natangaza rasmi

Hongera excellent kujipatia kimwana, hongera pia taijike m-baba kakuona, naomba mnijibu swali langu la maana, pasi kuwepo kongosho vp sherehe itafana?
 
kabakabana anena, "Hakika ndoa hii itavunjwa na msajili wa vyama vya siasa oops msajili wa ndoa"
Ngoja nikalisake lile li udaku
 
Judgement bhana, ulitaka kila kitu tuweke bango?

Ndo-manaake! Makitu sensitive kama haya they nid transparency hujawahi ona hata huko ma'church, ma'bomani pipo huweka mapingamizi !
Refar semi moja ya hekima :
"Ficheni uchumba na mzitangaze Ndoa "
 
duh,,,,Dogo umeanza naye mbali kwa uchunguzi wangu binafsi, U deserve..big up abd all the best
 
bara utangaze maana humu jf wanaume wana macho marefu, duuh hongera next thread tunategemea iwe ya kutualika harusini
humu lazima nitangaze wasije wakanipora aisee.....harusi nitawajulisha..teh teh
 
Hongera excellent kujipatia kimwana, hongera pia taijike m-baba kakuona, naomba mnijibu swali langu la maana, pasi kuwepo kongosho vp sherehe itafana?
lazima kongosho awepo....yule ndo kila kitu
 
Back
Top Bottom