Natangaza rasmi

Hongereni sana...

Hivi Excellent una allergy na kina dada wembamba.. (Nauliza tu..wala usihusianishe na mchumba wako mpendwa Taijike)

Dah wadada wembemba mbona ndo wa ukweli sana,we huoni watakuwa na figure
 
Excellent,
Yote kwa yote hapa kauli ya elected Wife wako ya kuagrii propasal Rasmi sijaiona hapa!
Au mimi ndiyo sioni vizuri ?

jaribu kuvaa miwani utaona halafu ye mwenyewe atakuja kuitolea maelezo
 
Hongera sana. mlete kwangu mama ili nimfundishe mila za nyumbani. kama ile ya lazima azae mtt mmoja nje ya ndoa n.k.
 
Tombokaa !
Babaa
Tombokaa
Usimbe Jeiefu wa nini ? Na Mijimama, Mi- bi Dada, Mimanzi lukuuuki ? Wala mimi sifuti kasumba kua wao wapo kwa ajili yetu !
Na naiheshimu, naitetea, naijali kasumba yangu. Fullystop .

mume wa mtu ww...jiheshimu!
 
...Excellent
xllent kwa kutangaza nia aisee...mana humu bila kusema unachukuliwa tonge mdomoni...sasa utakula ushibe!.
 
Back
Top Bottom