Natangaza rasmi nimemtariki mhusika!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Leo natangaza rasmi kumtaliki mpenzi niliyeishi naye kwa tabu na raha!!
Hivyo ijulikane kuwa Preta siyo mke wangu tena na kwa sasa KakaKiiza yupo huru kwa dada yoyote!!
Baada ya hayo nasema wale waliokuwa wananiogopa kwa sabayake waendelee na mipango yao kwa pande zote mbili kwangu na kwake asanteni

Nimimi KakaKiiza
Katika ujenzi wa Taifa hili la JF.
 
Last edited by a moderator:
Hakyanani siwezi amini kuwa yule Mganga Nundamaliwa dawa yake ina nguvu kiasi hiki,maana mpango wangu umekamilika wa kuwatenganisha kilichobaki ni kujibebea toto Preta kilainiiiiiiii!Yarsahlulah mtoto wa kiumeni mie!Preta mpenzi mwenzio nilikuwa napata taabu ya kula na kulala kwa sababu ya kukupenda naomba uji unipoze mtima wangu,achana na "kagiza" nipo mie nitakyekutendea Haki toka uamkapo mpaka ulalapo!tafadhali usintose maana safari ndo ntaacha kula na kulala kabisa!
 
Back
Top Bottom