Natangaza rasmi nia ya kugombea urahis 2015,... ! Kama lowassa anaweza basi na mimi pia nitaweza.

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Ndugu zanguni
Leo nilitoa mada kutafuta mawazo yenu hapa JF jinsi ya kuwa rais wa nchi na kuepuka kuitwa dhaif.
Nimegundua kuwa urais sio kazi ngumu kama udokta kwa sababu maamuzi mengi unategemea washauri. Hivyo basi na mimi nimeamua kugombea urais mwaka 2015 kupitia chama chochote kisicho na pesa na kinatafuta pedeshee kama mimi.
Mimi nitagombea urais kwa sababu zifuatazo
Siutaki muungano
Sina kashfa kama alizonazo lowasa
Nitamuomba Nape anipigie debe kwa sababu anakubalika sana na wakulima
Nitaruhusu madili ya kueleweka yafanyike kama vile richmondi
Hela nitazipata kutoka kwa mafisadi wenzangu kwa sababu tutapiga dili nyingi tu
Mtu kama membe hatufai kwa sababu ni mshamba hajui madili kama ya richimondi
Kikwete lazima atanipigia debe kwa sababu ni mshikaji wangu
Watanzania hawatakumbuka mabaya niliyofanya mpaka nikajiuzuru bali watakumbuka jinsi nilivyo mnoko kazini

NI HILO TU,
sasa unakunja uso kwa nini, na wewe si ugombee??? wee VIPI WEWE??
 
!ɹnqɐsɐɯ ɐ!ɯnʇnʞ ɐʍʞ ɐzɐʍɐun
 
Ondoa porojo zako hapa jukwaa lengwa!
Utaja ambulia maneno mengi ambayo haukutarajia kamwe maisha yako!
 
Back
Top Bottom