Natangaza rasmi kuwafukuzia lizzy,fistlady1 na smile

Nimefata kwa Prime Minister jirani ila naona alikuwa nafanya trial and error! Tena karibu angeangukia na kwako, nikamwambia hapo tutakosana.

hahaha jirani asante kwà kujali.... hakika u-jirani mwema. karibu Nyamhongolo kesho kuna ng'ombe inaangushwa!
 
hahaha jirani asante kwà kujali.... hakika u-jirani mwema. karibu Nyamhongolo kesho kuna ng'ombe inaangushwa!
Aha jirani thanx sana kwa mualiko huu! Ninavyopenda hiyo kitu....ntajitahidi nifike! Hebu nipe taarifa za ndani kama muda nk
 
Heee hee! Hebu tupe sababu zako ni kwanini umewachagua hao tu ilihali hapa jf wapo wengi tu.... Ni vigezo gani umetumia?

Mi nashangaa tupo wengi tu!wewe ungesema natafuta wanyange wanye sifa kama
Za Lizzy nk wengi tu wangejitokeza lakini nia ingekuwa hao
Uliowataja.wewe vipi njoo tukufundishe ku
*ngo*z
 
Duuuuu, we wote unawapenda. Kweli hiyo true love, hahahaaaaa, 3 suitors one wife.
 
nakutakia 'kuwafukuzia' kwema, speed yako tu......... Angalia usilowe jasho la kwapa kwenye mbio zako
 
Back
Top Bottom