Natangaza rasmi kumuunga mkono JK

"Show me your friends and I will tell you what you are!" Unao uhakika kwamba hao "wasaidizi", kwa namna moja au nyingine, si tegemeo na nguzo muhimu kwa kuwepo na kudumu kwa JK madarakani? Unadhani amekurupuka tu kuwateua kwenye nyadhfa walizo nazo?

Majina yaliletwa na wanamtandao, na si chaguo la jk, anachotakiwa ni kuwapiga chini na kuweka chaguo lake, ndo maana nkamshauria ahanzie kwa wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa wilaya ndo wanamwangusha kwa uku chini, then apande juu kuanzia pm mpaka makatibu wakuu, ajipange upya wanamtandao wanamchanganya, na wana ccm wahache uchama waangalie utaifa, eti wanataka kugoma! atakae goma kama ni waziri ampige chini, wadogo wadogo awapotezee n keleld za chura hao wabunge
 
Niliposoma kichwa cha habari yako nimeshindwa hatakusoma habari yenyewe, what is so good about this boy Jakaya? He had opportunity to do changes soon when he was elected first time in 2005, Kila mtu aliweka tumaini kwake kwa sasa tanzania yenye neema yaja, Machale yalinicheza alipo chagua baraza lake la mawaziri la kwanza kabisa, nilijua kuwa matumaini hakuna tena, ilikuwa ni wine ya zamani katika kiriba kipya, what we got was the some flavor,

huwezi kusema Kikwete ni mzuri ila wasaidizi wake ndo wabaya, Je yeye hilo halijui huu mwaka wa saba wa utawala wake bado anawasidizi walewale, ukiwa na mke mzinzi unamuacha, lakini na wewe ukiwa ni mzinzi pia hakuna shida mnaendelea kuishi kwa kuwa hakuna wakumnyooshea mwenzanke kidole.

Jakaya hawezi kuwa wajibisha hao mashoga zake kwa kuwa wanajuana, kuna msemo usemao ukimwaga mboga mi namwaga ugali, Kama Jakaya angekuwa msafi asingekuwa na kigugumizi cha kutoa maamuzi magumu, hana kauli zenye msimamo, anawaogopa hata wabunge wakawaida kabisa wa ccm kwasababu anaogopa ni kinanani wapo nyuma yao.

Si vibaya kama ukiamua kuunga mkono kwani siasa kwa wengine ni imani, hata ukiambiwa chama chako kinapeleka nchi pabaya wewe unaona sawa tu.
 
Jamaa anamalengo mazurg ya mabadiliko , lakini akaingizwa mkenge na wana mtadao! ndo ameshituka na atafanya mabadili yatakayokushangya hacha na hawa watafuta urais, kaka siku zinaesabika utafurai mwenyewe.
 
kumuunga mkono tu haitoshi'unapaswa kumshauli aache ushikaji kwenye uteuzi anaofanya pia avae sura ya Uongozi iliaweze kuchukua hatua nakuwawajibisha wateule wake...yeye nirais wa nchi anashindwaje kuhutubia wananchi na kuelezea msimamo wake kuhusu posho mpya za wabunge? mbona aliweza kuwaambia wafanyakazi 315000 hailipiki? angalia mgomo wa madaktari kuna ugumu gani wayeye kutoa kauli za matumaini kwa madaktari na kuwaamulu viongozi wawizara wajiuzuru? usidanganywe na tabasamu watanzania wenzako wanateseka na mfumuko wa bei, Tanzania yaleo hata chai na mkate waslesi nianasa....kweli wanasiasa niwatu wabinafsi sana wanapaswa kuwa nao makini sana...binafsi siamini lakini naomba wote tujiulize hivi TANZANIA NI NCHI MASIKINI KWELI........? mungu Ibariki tanzania.

Wabunge ndo wachumia tumbo na pm wao, ikulu ndo ilitakiwa kutangaza ama amekubali kupitisha posho au la, lakn pm na makinda wakakurupuka kutangaza, ndo maana namuunga mkono jk kwa kukataa posho za hawa wachumia tumbo,
 
kaka nakuambiaje, tumuunge mkono utaona mambo yake! kwa sasa anakosa sapoti ya maana ndani ya chama, kama vp namshauri ahanzishe chama kipya mbadala wa ccm

hivi mnategemea nini kwa mwanafunzi aliyefaulu mtihani wake kwa kutazamia kwa mwenzake? na hasa kama huyo mwenzake alijua kuwa jamaa anatizamia kwake? kwa vyovyote lazima mtazamiaji awe mpole kila atakapokutana na yule aliyemuwezesha kufaulu na ndio hayo yanayomkuta jk hawezi kutoa maamuzi yeyote mbele ya wale waliomuwezesha kufika hapo alipo.
 
Nimetafakari sana mwenendo wa nchi yangu na kugundua kuwa mwenye tatizo si rais, yaani jakaya Mrisho Kikwete.

Nimebaini kuwa huyu jamaa anaipenda sana nchi yake na watu wake tena kwa dhati, ila tatizo linakuja kwa viongozi au wasaidizi wake aliowachagua, chukulia mfano rahisi hawa mawaziri wake, wanashindwa hata kutoa mahamuzi ya maana mpaka rais aingilie kati! vingozi wa wizara ya afya wanasubiri nini kujiuzuru au mpaka JK aseme ndo wajiuzuru?

Kwanini kila mtu anakuwa msemaji wa chama? Mara Lowasa kasema hivi, mara Kinana, mara Sumaye, mara Pinda, mara Makinda, mara Sitta, mara Nyalandu, mara Nape, mara Mukama!

Hapa tatizo ni urais wa 2015. Hata kama anakosea ndo rais wetu mpaka baada ya miaka 4 iliyobaki, JK atafanya mangapi kama wasaidizi wake wanawaza urais badala ya kumsaidia kutatua kelo za walalahoi? kila msaidizi wake amekuwa mchumia tumbo! kuanzia sasa JK nakuunga mkono, piga wote chini hawa mawaziri ambao hawakusaidii weka wapya bado una muda wa kutosha kurudisha mvuto wako na wachama.

Tengeneza serikali ya wanaokutii na ambao wako tayari kukuunga mkono katika kuinua uchumi wa wananchi. Anza na wakuu wa wilaya na wakurugenzi wengi wapo tu hawakusaidii kitu zaidi ya kujimilikisha maaridhi ya wananchi na kula fedha za pembejeo. Angalia maliasili kwa jicho la kulia wanakuzunguka na kuuza wanyama, si ajabu hata vifaru uliowaleta wameshawauza.

Mzee kuwa mkali usiwachekee wanakudharu miaka 4 iliyobaki inakutosha kutimiza ahadi zako. Kuanzia sasa natangaza rasmi kuunga mkono mpaka utakapo staafu ila kumbuka kufanya maamuzi magumu.

Pinda hakusaidii ameshachoka anakuongezea mzigo nae piga chini akalime tu weka mtu wa kukusaidia katka nafasi hii.

Haya ni mawazo yangu kwa rais wangu JK, tafadhali nikosoe kwa ustaarabu nilipokosea.

Naomba kuwasilisha.

Ahsante kwa kutuonesha upeo wako!
 
Ni mtazamo mzuri kwa mpenda nchi yake. Kichwa cha habari ni kizuri sana, Nakupongeza mtoa mada kwa kuutambua ukweli. Ukweli nami naunga Mkono katika hilo kuwa Wasaidizi wanamuangasha. Mfano mzuri kuhusu posho za Waheshimiwa Wabunge. Jamaa kawaambia Tumieni Busara, wao wamesema kakubali. Alivyosema ukweli wanasusia kukwamisha Muswada wa mabadiliko ya KATIBA. Naamini burasa Mizengo Pinda na Anne Makinda wangefanya maamuzi kabla ya kuambiwa wajiuzuri kwa kuwadanganya Wananchi
 
Nimetafakari sana mwenendo wa nchi yangu na kugundua kuwa mwenye tatizo si rais, yaani jakaya Mrisho Kikwete.

Nimebaini kuwa huyu jamaa anaipenda sana nchi yake na watu wake tena kwa dhati, ila tatizo linakuja kwa viongozi au wasaidizi wake
aliowachagua, chukulia mfano rahisi hawa mawaziri wake, wanashindwa hata kutoa mahamuzi ya maana mpaka rais aingilie kati! vingozi wa wizara ya afya wanasubiri nini kujiuzuru au mpaka JK aseme ndo wajiuzuru?

Mzee unafikirian sana mkuu..hongera mno, ubarikiwe, hakuna mwenye akili kama wewe humu!

kuwa aliowachagua Kikwete hawawezi kazi ni makosa ya waliochaguliwa na sio aliyechagua......YA kuwa Kikwete na hao aliowachagua wamewekeana mkataba kuwa akiwateua tu hawezi tena kuwwafukuza kazi!!

Mkuu umeharibu!!
 
Haya mawazo ya chini sana.Kama kiongozi anawajibika kwa lolote linalotokea kwenye serikali anayoiongoza.There is no way he can say he is not responsilbe.Alipashwa kumchukulia hatua yeyote ambaye hawajibiki.
Nimetafakari sana mwenendo wa nchi yangu na kugundua kuwa mwenye tatizo si rais, yaani jakaya Mrisho Kikwete.

Nimebaini kuwa huyu jamaa anaipenda sana nchi yake na watu wake tena kwa dhati, ila tatizo linakuja kwa viongozi au wasaidizi wake aliowachagua, chukulia mfano rahisi hawa mawaziri wake, wanashindwa hata kutoa mahamuzi ya maana mpaka rais aingilie kati! vingozi wa wizara ya afya wanasubiri nini kujiuzuru au mpaka JK aseme ndo wajiuzuru?

Kwanini kila mtu anakuwa msemaji wa chama? Mara Lowasa kasema hivi, mara Kinana, mara Sumaye, mara Pinda, mara Makinda, mara Sitta, mara Nyalandu, mara Nape, mara Mukama!

Hapa tatizo ni urais wa 2015. Hata kama anakosea ndo rais wetu mpaka baada ya miaka 4 iliyobaki, JK atafanya mangapi kama wasaidizi wake wanawaza urais badala ya kumsaidia kutatua kelo za walalahoi? kila msaidizi wake amekuwa mchumia tumbo! kuanzia sasa JK nakuunga mkono, piga wote chini hawa mawaziri ambao hawakusaidii weka wapya bado una muda wa kutosha kurudisha mvuto wako na wachama.

Tengeneza serikali ya wanaokutii na ambao wako tayari kukuunga mkono katika kuinua uchumi wa wananchi. Anza na wakuu wa wilaya na wakurugenzi wengi wapo tu hawakusaidii kitu zaidi ya kujimilikisha maaridhi ya wananchi na kula fedha za pembejeo. Angalia maliasili kwa jicho la kulia wanakuzunguka na kuuza wanyama, si ajabu hata vifaru uliowaleta wameshawauza.

Mzee kuwa mkali usiwachekee wanakudharu miaka 4 iliyobaki inakutosha kutimiza ahadi zako. Kuanzia sasa natangaza rasmi kuunga mkono mpaka utakapo staafu ila kumbuka kufanya maamuzi magumu.

Pinda hakusaidii ameshachoka anakuongezea mzigo nae piga chini akalime tu weka mtu wa kukusaidia katka nafasi hii.

Haya ni mawazo yangu kwa rais wangu JK, tafadhali nikosoe kwa ustaarabu nilipokosea.

Naomba kuwasilisha.
 
Samahanini nimeona kama amependekezwa mkapa awe mbunge then pm?!! Au sijaona vizuri? Mi huwa na shangaa asa, huyu mkapa alivokua kiongozi amejineemesha kweli kweli, migodi, jet, radar alafu bado tu tumuweke? Then Mkapa ni katili apelekwa ICC kwanza kabla ya upm
 
siyo siri wenye matatizo ni watumishi wa serikali na ndio wamechangia kudorora kwa uchumi wetu kutokana na uchu na tamaa zao mbaya ipo siku wananchi wataamua kugawana nao hizo mali ndo hapo watakapo lia na kusaga meno si mnakumbuka shamba la balali watu walivyojitwalia mazao yake ipo siku tuuu stay tuned lazima tugawane umasikini!!!!
 
hoja yako ni dhaifu sana
Ametumia Uhuru wake wa kutoa maoni kama wewe unavyoamini Regardless Lowasa na JK wote wawili hawana sifa za kuwa Marais wa nchi hii.
Tanzania tunahitaji King Cobra wetu kama Michael Sata ambaye atasafisha ufisadi wote nchi hii. Lowasa na JK wote ni mafisadi na wana mikono michafu hakuna mwenye ubavu wa kuleta uadilifu.

Tukumbuke kuwa hata ukiwa mchapa kazi kwa viwango gani lakini kama ni mla rushwa na fisadi wewe hufai, unatakiwa uazishe kampuni zako binafsi kama alivyofanya Mzee Mengi na Bakhresa, hawa wote ni mafisadi ila kwa sababu wanaendesha biashara zao binafsi sisi hatuna maneno nao.
 
Bwana Ta Kamugisha,Tatizo hapa ni kansa ya mfumo wa naizesheni uliotapakaa ndani ya uongozi wa Tanzania(unakumbuka nguvu ya Tsunami?). Na kwa bahati mbaya sana Rais ndio Kaizari wetu, ndiye final say kwa Kila jambo. Nani anasaini certificate ya kuongeza posho za wabunge?Nani anateuwa IGP? DPP? PCCB,Mwanasheria Mkuu? Wakuu wa Mikoa/Wilaya? Wakurugenzi? ect? Hatuna mifumo inayojitegemea na inayoweza kujisahihisha na kujiangalia yenyewe. Mifumo hii ilikufa tangu enzi za Mwalimu. Madaraka yote yalikuwa centralized na hivyo kufanya uraisi wa kifalme,na kwa maana hiyo maamuzi yote ya msingi. Hivyo kwa bahati mbaya(nasema kwa bahati mbaya kwa sababu hipaswi kuwa hiyvo) JK ndio mwenye wajibu mkuu wa kuhakihikisha mtumbwi unaelekea kunakotakiwa mpaka hapo mifumo yetu itakapobadilikia. Ndiye mkurugenzi mkuu wa Tanzania na kazi yake ni kuwapata Key Performance Areas hao mameneja wake(Wasaidizi) na kama hawa-perform anawaachisha kazi. Na kama JK halijuwi hili basi hafai kuwa Rais. Hivyo tatizo kuu la serikali yetu kuto-perform ni JK. Aidha naizesheni imemwelemea,uwezo wake ni mdogo, hajali(maana anajuwa nguvu alizokuwa nazo ni kubwa na hamna anayeweza kumfanya chochote) au serikali yake inaendeshwa na waliomweka madarakani(kumbuka nguvu ya Tsunami haikuwa ni nguvu ya umma ila fedha na vyombo vya habari vilitumika kuwatengenezea wananchi nguvu ya umma. Na hivyo kikombe cha uwajibikaji kwa Tanzania hawezi kukiepuka,lazima akinywe
 
Back
Top Bottom